Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
Mavi ya kale hayanukiUlivyokula 4g mwaka Jana????.....tulizana na domo lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavi ya kale hayanukiUlivyokula 4g mwaka Jana????.....tulizana na domo lako
Ana lazi za baba zake maana baba zake wote YangaManara ni wa timu gani? Maana ni muimbaji taarabu nguli kupita waimbaji wengine wotee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa usajili wa bilioni sijui unawasaidiaga nini
mbaooo hao wanakuja kaa kimyaHawa usajili wa bilioni sijui unawasaidiaga nini
Hilo kombe la ligi kuu lenyewe mlichukua lini?Mapinduzi kwa Simba ni km zoezi tu..kombe ni Ligi kuu na FA tulilotolewa bas...lkn huko zenj ni kuumiza wachezaji tu
Mapinduzi nako mnatolewa mapema kama FA, hahaaaa Mbumbumbu FC mnarudi tena matopenimbaooo hao wanakuja kaa kimya
Ndo maana ya rekodi kuwepo dadeq...Mavi ya kale hayanuki
Nasikia wanamtafuta kwa bei yoyote striker wa Mbao aliyeifunga Yanga wiki iliyopita.1.3 billion mlosajili ni bureeee kbs mnasajil majina na sio uwezo mkiona mchezaji amecheza MECHI moja vzr mnamtolea macho ,pambaneni na hali zenu koko nyie
Maamuzi ya sasa ndiyo yanayofanyiwa kazi huwezi sema kwa sababu ulifungwa mwaka jana leo huwi mshindi neverNdo maana ya rekodi kuwepo dadeq...
Kwan mi kufungwa ndo inamaanisha sigombanii ubingwa ama!!!!Maamuzi ya sasa ndiyo yanayofanyiwa kazi huwezi sema kwa sababu ulifungwa mwaka jana leo huwi mshindi never
HujitambuiKwan mi kufungwa ndo inamaanisha sigombanii ubingwa ama!!!!
Sawa....ila kuna kitu unakikosa kwako kwa sasaHujitambui