Asante Azam kwa kuifunga Simba

Asante Azam kwa kuifunga Simba

Mapinduzi kwa Simba ni km zoezi tu..kombe ni Ligi kuu na FA tulilotolewa bas...lkn huko zenj ni kuumiza wachezaji tu
 
Simba inabidi wakate rufaa hili goli sio halali
 
huyo kwasi wao jana watu wamemtingisha kinyama yaaani.....kachezen mnakochezaga
 
Simba bado inatatizo la washambuliaji, wafungaji, imrbaki kumiliki mpira bila matokeo.
 
Ile ya mbao ndo mji ulikuwa umetulia sana[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji11]
 
1.3 billion mlosajili ni bureeee kbs mnasajil majina na sio uwezo mkiona mchezaji amecheza MECHI moja vzr mnamtolea macho ,pambaneni na hali zenu koko nyie
 
1.3 billion mlosajili ni bureeee kbs mnasajil majina na sio uwezo mkiona mchezaji amecheza MECHI moja vzr mnamtolea macho ,pambaneni na hali zenu koko nyie
Nasikia wanamtafuta kwa bei yoyote striker wa Mbao aliyeifunga Yanga wiki iliyopita.
 
pale jirani anapompiga mumeo,,,,mke asiye mudilifu hushangilia kipigo cha mumewe
 
Back
Top Bottom