Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka.
Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele.
Acha tu niseme ukweli baada ya kusoma sana elimu dunia hasa ya Mashariki hususani China na Japan, nilikoshwa sana na Rais Mstaafu Kikwete hasa life style yake na Uongozi.
Hapa siongelei masuala ya wizi na ufisadi hadi hata wewe ni mwizi na fisadi pia.
Kwa hiyo baada ya kuondoka madarakani niliendelea kuwa fan wa camp Kikwete, kwa hiyo alipoingia JPM wala hata hakuwahi kunikosha especially kuanzia 2017 hasa alipoanza kudili na campos Kikwete na allies wake.
Hadi kifo chake nilikichukulia poa tu kama watu wengine tu, ila nakiri bila kupepesa tulipata msimamizi mzuri wa taifa kwa ujumla.
Linapokuja kwa huduma ambazo serikali ni service provider utofauti ulionekana ilikuwa ni ngumu kuuona ila sasa hivi unaonekana.
Angalia mfano hospitali ndiyo kwanza wahudumu wamerudi usingizini, angalia pia kwenye sehemu za kupatia huduma za serikali nemda popote ulipopata huduma kipindi JPM yupo madarakani.
Sasa kuna jipu hili litaenda na mtu TANESCO, wakuu Tanesco ndiyo wanakata umeme kila siku iendayo kwa mungu ina maana Jpm kaondoka na umeme wake?
Hivi umeme unawaka usiku kwa usiku una maana gani?
Hivi ni kwamba mnataka muuze mafuta na majenereta?
Hivi kumbe Kalemani alikuwa sawa siyo?
Naunga doti kukatika kwa umeme na kucheleweshwa kwa mradi JNHHP ni mnataka kufanyeje labda?
Nimekazia umeme sababu bila umeme hakuna kinachoenda kwenye kila sekta nenda hosipitali ya wilaya uambiwe hupati huduma Xray sababu ya umeme ndiyo dawa itakapo anza kukuingia.
Nimeanza kuelewa hivi unakuwa mshamba kwa kufanya mambo yanyooke siyo.
Tuongozwe na mtu mshamba lakini Huduma za muhimu tupate hatutaki tena porojo zenu zimeshatujaa.
Pumzika kwa amani baba.
Natubu.