figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir.
Baada ya siku nne kuisha Wasiojulikana hawakujitangaza wakakaa kimya. Hivyo Albadir baada ya siku nne ikasomwa.
Baada ya Muda tukaona kama haijafanya kazi.
Lakini sasa hivi Wasiojulika hawsikiki tena, watu hawatekwi, hawaokotwi kweye Viroba wala mizoga ya watu haiokotwi barabarani.
Watu tuliosomea Cuba, tunajua kilichowapata.
Je, Tanzania itegemea Kikundi kipya cha Wasiojulikana?
Nasikia hadi Kaburi la kiongozi la Wasiojulikana la Tiles nyeusi limepasuka na kujenga nyufa.
Kwa hizi albadiri nilizozishuhudia leo hakyanani tujiandaeni kwa Msiba mzito Tanzania