Asante Bwana Yesu, angalau hili la kuuza bandari hata wajinga wa Tanganyika wamelielewa

ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
Wakielewa inakuwaje?
Ukoloni upo tu, labda ni suala la kuchagua aina ya mkoloni tu.
Hakuna jinsi unaweza kuukataa ukoloni kwa kusema tu na ukaisha.
 
Kuogopa uwekezaji ni ujinga. Cha msingi mikataba ipitiwe kwa kina na uwazi. Wenyewe mmeendesha for ages bado ipo pale pale.

Maza akitoka hapo aende airports. Wape watu wanaojua kazi na wenye nyenzo za kazi waendeshe.
Hakuna anaepinga uwekezaji..ni terms na conditions..clauses za kinyonyaji
 
Kuogopa uwekezaji ni ujinga. Cha msingi mikataba ipitiwe kwa kina na uwazi. Wenyewe mmeendesha for ages bado ipo pale pale.

Maza akitoka hapo aende airports. Wape watu wanaojua kazi na wenye nyenzo za kazi waendeshe.
Watu hawakatai uwekezaji, ila wenye tija na ambao rushwa haikutumika
 
Adui wa Tanzania Bara ni Samia msaliti, wacha kuisingizia Katiba iliyopo hata kama mbovu.

Ameapa kuilinda Katiba na rasilimali zetu, ajabu anaenda kuzitoa kwa wajomba zake Arabuni licha ya kiapo chake.
Kabla ya hili nilikuwa sijui kama watu wa upinde mna udini mkali kupita maelezo......nimeshangaa sana! Au hofu yenu ni kuwa dildos hazitopita tena bandarini akiwa mwarabu?!!!!

Hopefully, Mungu ataendelea kumbariki mama yetu.
 
Wagalatia mnaumia sana mwarabu kupewa, ila jueni kuna waarabu wakristo pia

Akili kisoda, mtaumia sana tena sana
Mwarabu anaenda kutawala dunia sasa
Enzi inarudi mtake msitake

Na hawa Wakongomani waloletwa na Tippu Tipp wanaowatukana Watanzania nao ni Waarabu? Cheki Makamu Rais jana akiwa nyumbani kwa kina Mbarawa.
 
Kuogopa uwekezaji ni ujinga. Cha msingi mikataba ipitiwe kwa kina na uwazi. Wenyewe mmeendesha for ages bado ipo pale pale.

Maza akitoka hapo aende airports. Wape watu wanaojua kazi na wenye nyenzo za kazi waendeshe.
Lack of entrepreneurship skills, in entrepreneurship we learn how to do business not about business
 
Nchi ina wajinga wengi mno.

Bahati Mbaya sana Tumewapa nchi wapumbavu WATUONGOZE

Majuha ndio Kila kitu wao kushangilia.
 
At the same time kuna bandari zingine kibao wanaendesha successfully. Sisapoti mkataba wa hovyo, mkataba ni makubaliano. Sisi tuangalie kinachotufaa. Ni taasisi gani haina lawsuit?
Hakuna hata nchi moja Duniani aliyowapa DP bandari zao zote. Kwa mataifa makubwa hakuna hata nchi moja iliyowapa DP bandari mama, wamewapa bandari mojawapo, tena hakuna mahaki ilipopewa mkataba wa zaidi ya miaka 30.

Huu mkataba wa kwetu ni wa kishenzi na kijambazi hasa.
 
Adui wa Tanzania Bara ni Samia msaliti, wacha kuisingizia Katiba iliyopo hata kama mbovu.

Ameapa kuilinda Katiba na rasilimali zetu, ajabu anaenda kuzitoa kwa wajomba zake Arabuni licha ya kiapo chake.
Halafu alianza mapema tu toka alipokalia kiti, tumekuja shtuka it's too late,mie maza nilikuwa namkubal kinoma saivi moyo wangu umeingia baridi juu yake 🙏
 
Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
The honeymoon is over now! Nilikutahadharisha na bado utaujua ukweli kufika 2025!
 
Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
MTU mmoja aliyeshiba hataweza kuuza nchi yetu .

Tumejifunza Loliondo na Mtwara kwenye gesi.

Wakae pembeni wameshindwa kuisimamia mpaka bandari inayokusanya pesa tu. Yaani Hata kukusanya pesa wameshindwa basi ni Bora waachi Jesi liendeshe bandari wakishirikiana na TRAFIKI. Meli ikiingia inapigwa mkono inawekwa pembeni inalipa pesa unatembea mbele kushusha mzigo ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji112]
 
Kuogopa uwekezaji ni ujinga. Cha msingi mikataba ipitiwe kwa kina na uwazi. Wenyewe mmeendesha for ages bado ipo pale pale.

Maza akitoka hapo aende airports. Wape watu wanaojua kazi na wenye nyenzo za kazi waendeshe.
Nakupata mkuu, ila mabepari ni majanja majanja. Watafaidika wao, sisi patupu, ndio hofu yetu.

JESUS IS LORD
 
MTU mmoja aliyeshiba hataweza kuuza nchi yetu .

Tumejifunza Loliondo na Mtwara kwenye gesi.

Wakae pembeni wameshindwa kuisimamia mpaka bandari inayokusanya pesa tu. Yaani Hata kukusanya pesa wameshindwa basi ni Bora waachi Jesi liendeshe bandari wakishirikiana na TRAFIKI. Meli ikiingia inapigwa mkono inawekwa pembeni inalipa pesa unatembea mbele kushusha mzigo ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji112]
sasa Jeshi fdha watazipeleka wapi wakizikusanya barabarani?
 
Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
Tunafahamu ni chuki tu zinawasumbuwa, chuki za "kwanini iwe Waislam?" "kwanini iwe Waarabu?"

Hakuna zaidi ya hicho, hakuna bandari wala gati iliyouzwa, nsijidanganye wala kudanganya wengine.
 
Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
Upo sahihi Wajinga wa Tanganyika Wameshiriki KIKAMILIFU kupitia Wabunge wao wajaza matumbo yao
 
Kuogopa uwekezaji ni ujinga. Cha msingi mikataba ipitiwe kwa kina na uwazi. Wenyewe mmeendesha for ages bado ipo pale pale.

Maza akitoka hapo aende airports. Wape watu wanaojua kazi na wenye nyenzo za kazi waendeshe.
NANI ataipitia kwa kina? Kwanini iwe Wazi? Hakuna mambo hayo hii ni Tanzania
 
Back
Top Bottom