asante ccm asante heslb

asante ccm asante heslb

Joined
Sep 9, 2013
Posts
12
Reaction score
2
kwa mara ya kwanza ccm imenifurahisha kwan nimelamba mkopo wa maana,ingawa kura yangu itokwenda ccm 2015,pole sana ziende kwa walioonewa,,Mungu yuko nanyi
 
haa kumbe kuna wengine mlioomba ccm,mi nilijua heslb tu ambayo iko chin ya serrikal ya tz na sio chama fulan
 
hizi ni pesa za walipa kodi,mm wewe na yule,sio za ccm,cuf wala chadema
 
Back
Top Bottom