Asante dada zangu kwa kuachana na Mawigi, wamebaki kichwa ngumu

Asante dada zangu kwa kuachana na Mawigi, wamebaki kichwa ngumu

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Heshima wakuu,

Nachukua nafasi hii kuwashukuru wale wote waliacha kuvaa vimawigi. Kwanza mlikuwa hampendezi, hata sijui nani alikuwa kawafundisha.

Baada ya kuachana na mawigi, wengi huwa mnapendeza sana. Nmefurahi kuona leo mwendokasi hamna hata mmoja aliyevaa wigi.

Hongera sana. Msirudie tena kuvaa hayo mashetani. Na Mungu awasaidie.
 
Bora wawe vipara tu mawigi wanaonekana km midoli wengine maroboti kbsa
 
Ankal Pombe, kaza vyuma Baba....
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Niliwai panda na mdada mmoja kwa mwendokasi daah nikawa na sikia kama mvundo wa utumbo ...sasa sielew dada mzuri anatoa harufu au ni mbwa imegongwa road ,duuh kuja jua kumbe ni harufu ya wigi ambalo nahisi funza watatoka soon.
 
Hakuna kitu nachukia kwa mwanamke kama manywele haya ya kichina sijui kihindi, kama makatani vile!
Hata thamani ya binadamu inapotea kabisa unaweza kudhani ni kiumbe kipya.
Njoo sasa kwa hayo marangi rangi duu!
 
Shukran sana,..ila aiseee hapa duniani ukisikiliza sana na kufuatisha wanayotaka viumbe hai hasa wa dunia hii ya 3 kuna siku unaweza tembea ka mwehu kama si chizi kabisaa.
Absolutely... Na ukitaka kuishi vizuri kwenye hii dunia, fata kinachokupa raha sio kuwafurahisha watu

Ukiweza hilo sharti ni full raha miaka mia
 
Ngoja waje kina shunie, hajar na wengine watusibitishie
Hahaaaa. Itakuwa kweli Mkuu.

Na kama kakuta mwendo kasi nzima haina mdada mwenye wigi huenda ikawa ndio mwanzo wa mabadiliko hayo Mkuu.
 
Fashion ndio inaondoka hiyo,ikirudi umeshazeeka,nilisikia kulikuwa na mawigi nilipokuwa mtoto sana,sasa nimekuja kuyaona live kama fashion nimeshazeeka...
 
Hakuna jambo la kijinga nilionalo kwa wanawake kama kuvaa mawigi na kutumia lotion za kubadilisha rangi ya ngozi zao
tatizo kila wanachokiona kwa wazungu na wenyewe wanataka wakifanye mwisho wa siku wanaonekana kama Cartoon
 
Back
Top Bottom