Asante dada zangu kwa kuachana na Mawigi, wamebaki kichwa ngumu

Asante dada zangu kwa kuachana na Mawigi, wamebaki kichwa ngumu

tatizo kila wanachokiona kwa wazungu na wenyewe wanataka wakifanye mwisho wa siku wanaonekana kama Cartoon
Mkuu haya mawigi ni moja kati ya vitu vinavyoshusha UTU wa muafrica!!
Mwafrica daima hawezi kuwa HURU.
 
Shukran sana,..ila aiseee hapa duniani ukisikiliza sana na kufuatisha wanayotaka viumbe hai hasa wa dunia hii ya 3 kuna siku unaweza tembea ka mwehu kama si chizi kabisaa.
Msijitetee
Mawigi hayawapendezi
Vingine mko poa
 
Absolutely... Na ukitaka kuishi vizuri kwenye hii dunia, fata kinachokupa raha sio kuwafurahisha watu

Ukiweza hilo sharti ni full raha miaka mia
Ongeza 700,.miaka 800 full raha...wanaume wana jema basii ukiwa kipara ngoto utaambiwa hajulikani mume nani mke nani,..mm nafanya vile nakuwa happy nikishajiona niko na amani na sivunji sharia inatosha.
 
Uko kama mimi.....mambo ya kumfurahisha mtu mwingine sinaga asee naahukuru hilo na naona faida
 
Kuna wanawake wakiwa na nywele fupi wanavutia sana na kuna wengine wanakua kama katuni
 
Hawa wavaaji wigi wanafull mikosi, kichwa hakitiwi maji wiki 2 au mwezi ukijatembea nae lazima uwe mtu wa gundu.
 
Uko kama mimi.....mambo ya kumfurahisha mtu mwingine sinaga asee naahukuru hilo na naona faida
Faida lazima uione sweetheart,.unakuwa huru na amani,.juzi nimeshuka town na twende kilioni zangu amazing hahahah sikuwa na habari na bado nikaoneka mrembo[emoji23][emoji23]leo niko na wig and nafurahia maisha vilevile,.wanazengo wasitupe stress hawatakaa kuridhika daima dawamu,.
 
Haya madubwasha wanawake wanaweka kichwani syapend hata kidogo.
 
Back
Top Bottom