MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,365
Mkuu haya mawigi ni moja kati ya vitu vinavyoshusha UTU wa muafrica!!tatizo kila wanachokiona kwa wazungu na wenyewe wanataka wakifanye mwisho wa siku wanaonekana kama Cartoon
kwel kabsaaMkuu haya mawigi ni moja kati ya vitu vinavyoshusha UTU wa muafrica!!
Mwafrica daima hawezi kuwa HURU.
MsijiteteeShukran sana,..ila aiseee hapa duniani ukisikiliza sana na kufuatisha wanayotaka viumbe hai hasa wa dunia hii ya 3 kuna siku unaweza tembea ka mwehu kama si chizi kabisaa.
Huhuhuhu[emoji23] mnajuaga kujifarijiAbsolutely... Na ukitaka kuishi vizuri kwenye hii dunia, fata kinachokupa raha sio kuwafurahisha watu
Ukiweza hilo sharti ni full raha miaka mia
[emoji16][emoji16]tunapendeza sana,..ww tuu itakuwa unakutana na vibwengo labda,.[emoji12]Msijitetee
Mawigi hayawapendezi
Vingine mko poa
Ongeza 700,.miaka 800 full raha...wanaume wana jema basii ukiwa kipara ngoto utaambiwa hajulikani mume nani mke nani,..mm nafanya vile nakuwa happy nikishajiona niko na amani na sivunji sharia inatosha.Absolutely... Na ukitaka kuishi vizuri kwenye hii dunia, fata kinachokupa raha sio kuwafurahisha watu
Ukiweza hilo sharti ni full raha miaka mia
Nasema uwongo dikteta?...japo sivai wigiHuhuhuhu[emoji23] mnajuaga kujifariji
Uko kama mimi.....mambo ya kumfurahisha mtu mwingine sinaga asee naahukuru hilo na naona faidaOngeza 700,.miaka 800 full raha...wanaume wana jema basii ukiwa kipara ngoto utaambiwa hajulikani mume nani mke nani,..mm nafanya vile nakuwa happy nikishajiona niko na amani na sivunji sharia inatosha.
Faida lazima uione sweetheart,.unakuwa huru na amani,.juzi nimeshuka town na twende kilioni zangu amazing hahahah sikuwa na habari na bado nikaoneka mrembo[emoji23][emoji23]leo niko na wig and nafurahia maisha vilevile,.wanazengo wasitupe stress hawatakaa kuridhika daima dawamu,.Uko kama mimi.....mambo ya kumfurahisha mtu mwingine sinaga asee naahukuru hilo na naona faida