Kumbe hujui eeh kitu kizuri kila mtu anakikubali na kina bamba ile mbaya hakitegemei skendo chafu kukiboost kizuri siku zote kinajiuza ila kibaya sasa uwiiii
Kibaya ni nani na kizuri ni nani? na kila mtu ni nani na nani? mbona unaleta makangability maflagablasting
Mimi nina roho mbaya pia
Kibaya ni nani na kizuri ni nani? na kila mtu ni nani na nani? mbona unaleta makangability maflagablasting
Km hujui kibaya ni kipi na kizuri ni kipi unawezaje kujua roho mbaya ya mtu. Wakubwa wakiwa wanaongea nyie watoto mkae kimya
Km una roho mbaya ni ww co kusema na wengine pyeeeeeee
Ha ha ha utaelewa sasa unadhani kaa ufikirie kwanza vizuri utanielewa ninacho maanisha
Sasa wewe hujiamini hata katika unachokisema ndugu yangu...kama ni A sema A ,....Kama ni B pia iseme...sasa rounding the bush ni ushabiki mandazi huo
Doh...haya mkubwa endelea kuongea tunakusikiliza shabiki mandazi
Na wewe mbona limekuuma sana hilo swala la roho mbaya....na wewe pia utakuwa na roho ya kwanini...roho ya birika