Asante Diamond umeongea ukweli ambao mashabiki wako hawataki kuusikia!

Asante Diamond umeongea ukweli ambao mashabiki wako hawataki kuusikia!

Kumbe hujui eeh kitu kizuri kila mtu anakikubali na kina bamba ile mbaya hakitegemei skendo chafu kukiboost kizuri siku zote kinajiuza ila kibaya sasa uwiiii

Kibaya ni nani na kizuri ni nani? na kila mtu ni nani na nani? mbona unaleta makangability maflagablasting
 
Kibaya ni nani na kizuri ni nani? na kila mtu ni nani na nani? mbona unaleta makangability maflagablasting

Km hujui kibaya ni kipi na kizuri ni kipi unawezaje kujua roho mbaya ya mtu. Wakubwa wakiwa wanaongea nyie watoto mkae kimya
 
Km hujui kibaya ni kipi na kizuri ni kipi unawezaje kujua roho mbaya ya mtu. Wakubwa wakiwa wanaongea nyie watoto mkae kimya

Doh...haya mkubwa endelea kuongea tunakusikiliza shabiki mandazi
 
Ha ha ha utaelewa sasa unadhani kaa ufikirie kwanza vizuri utanielewa ninacho maanisha

Sasa wewe hujiamini hata katika unachokisema ndugu yangu...kama ni A sema A ,....Kama ni B pia iseme...sasa rounding the bush ni ushabiki mandazi huo
 
Sasa wewe hujiamini hata katika unachokisema ndugu yangu...kama ni A sema A ,....Kama ni B pia iseme...sasa rounding the bush ni ushabiki mandazi huo

Najiamini miaka billion nimekwambia soma uelewe ufikirishe halmashauri ya kichwa we ndo shabiki maandazi unapenda spoon feeding mbona simple Haya niache basi na ushabiki wangu maandazi wee shabiki mhogo
 
Na wewe mbona limekuuma sana hilo swala la roho mbaya....na wewe pia utakuwa na roho ya kwanini...roho ya birika

Roho mbaya unayo wewe ulothibitisha kuwa una roho mbaya bora mimi roho ya birika kuliko wewe mwenye roho ya korosho
 
Najaribu kupiga picha ule ukubwa na shape ya boga...daaah!
 
Back
Top Bottom