Asante Diva wa Clouds FM kuwaleta Kiba na Bela

Asante Diva wa Clouds FM kuwaleta Kiba na Bela

mkatagogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
229
Reaction score
44
Leo usiku wangu umekuwa murua nimepata show ya live bila chenga hakika hawa jamaa wanajua balaaa
 
Leo usiku wangu umekuwa murua nimepata show ya live bila chenga hakika hawa jamaa wanajua balaaa
Linyimbo la ovyo mno hata liki-promotiwa na Magufuri aliwezi kupenya sembuse huyo mala............ wa mawingu.
 
Ushauri wa bure,kiba afanye jitihada zake bila kushindana na mtu maarufu barani afrika anaetokea Tanzania.
 
Mnaweweseka nn na kiba kama mnajua diamond ndo mkali?...#HAMJIAMINI
 
Back
Top Bottom