A
Amen and amen kwa walimu
Mlitakiwa mrhibitishwe muda gani baada ya kuajiriwa?Sisi walimu ajira mpya tulioajiriwa Februari na Machi mwaka 2025 katika Wilaya ya Rorya, tuliandika hapa JamiiForums mapema mwezi huu kuwa hatujathibitishwa kazini.
Soma: Ajira Mpya Wilaya ya Rorya hatujathibitishwa kazini tangu Januari 2025
Tunashukuru kwamba baada ya andiko hilo kutoka, tumethibitishwa kazini.
Asanteni sana JF!
Kwani kufunguliwa lango uingie ndani na ukae kwenye kiti,kivulini pasipo mvua au jua ili uendelee kufurahia muendelezo wa sherehe kuna faida gani mkuu?Mlitakiwa mrhibitishwe muda gani baada ya kuajiriwa?