Asante jf doctor

Asante jf doctor

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Wakuu habari zenu na heri ya crismas,,
siku kumi zilizopita niliweka Uzi hapa kuhusu kushindwa kufanya chochote kwa binti flani kwakweli iliniuma sana na nilidharaulika sana.

binti akaniita dume kaptula
nikaja kuomba ushauri hapa watu wengi walijitokeza kunishauri pia niwape shukrani,,
baada ya kupewa ushauri nilidhamiria kuufanyia kazi ili kurudisha heshima nilihisi habari hizo zikisambaa itakua shida.

Nilianza kupiga push up 20 asbh na jioni,,nikawa nakunywa maji ya kutosha na kula vyakula vyenye tija,,nikafuta video na picha zote za XXX kwenye simu yangu ,,nikala matikiti maji pamoja na tunda zake.

Baada siku Tisa Jana nikaomba mchezo,,binti alikubali lkn akaniambia nkishindwa tena atanitangaza ckujali
Jana usiku alivyokuja kwakweli nilijiona tofauti kilichotokea nikwamba wakati naendelea nshamaliza mzunguko wa kwanza na kuunga wa pili bila kushuka ,,,akaniambia subiri kidogo nikae vzr nilivyochomoa alitoka nduki sana.

Asbh ananipigia cm akaniambia cku ya kwanza nilimfanyia kusudi,,
asanteni wadau mficha maradhi mauti humuumbua
 
Wakuu habari zenu na heri ya crismas,,
siku kumi zilizopita niliweka Uzi hapa kuhusu kushindwa kufanya chochote kwa binti flani kwakweli iliniuma sana na nilidharaulika sana,,
binti akaniita dume kaptula
nikaja kuomba ushauri hapa watu wengi walijitokeza kunishauri pia niwape shukrani,,
baada ya kupewa ushauri nilidhamiria kuufanyia kazi ili kurudisha heshima nilihisi habari hizo zikisambaa itakua shida,,
nilianza kupiga push up 20 asbh na jioni,,nikawa nakunywa maji ya kutosha na kula vyakula vyenye tija,,nikafuta video na picha zote za XXX kwenye simu yangu ,,nikala matikiti maji pamoja na tunda zake,
baada siku Tisa Jana nikaomba mchezo,,binti alikubali lkn akaniambia nkishindwa tena atanitangaza ckujali ,,,
Jana usiku alivyokuja kwakweli nilijiona tofauti kilichotokea nikwamba wakati naendelea nshamaliza mzunguko wa kwanza na kuunga wa pili bila kushuka ,,,akaniambia subiri kidogo nikae vzr nilivyochomoa alitoka nduki sana ,
asbh ananipigia cm akaniambia cku ya kwanza nilimfanyia kusudi,,
asanteni wadau mficha maradhi mauti humuumbua
Hahahabahahahahahahahahahahahah [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unakulaje mbegu za tikiti?si unaweza pata appendix?
 
Kumbe ukipiga push up, mpinzani wako lazima atoke nduki!? Au ndo mana bwana yule alikuwa anazipiga kwa sana.
hahaaaa sina maana hio bwana yule alipiga push up kwa faida zake
 
Back
Top Bottom