Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

Be blessed mkuu
 
Niko advance 2008 fom six ..kolila high school ..nilivyojiunga na chuo ndio nikaanza kusikia jukwaah hili kak angu alikuwa member akawa nasikia akiongelee mambo thread na Uzi bas 2015 nikaona niwe Kam msomaji tu bila kuchangia lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…