Asante Kijana wetu Sabaya Umetusafishia Wilaya yetu. Tutakukumbuka kwa mema yako yote

Eti alitaka kukuchonganisha na Magufuli....
ahahahahaha just hahajajaja

Magufuli alikuwa anakujua wewe takataka?
 
Kichwa cha habari cha uzi wako kinajionyesha kuwa wewe nia adui wa jamii

Sio sifa kuwa adui wa chama cha upinzani au kuwa adui wa viongozi wa upinzani au kuwa adui wa wafanyabiashara

Uongozi wa kuwa bingwa wa makundi fulani katika jamii maana yake wewe hufai kua kiongozi na hujui kuongoza

Lakini pia kwa sababu uongozi ni kipawa cha asili basi maana yake haujabarikiwa kuwa kiongozi mzuri kiasili yaani huna kipaji cha uongozi bali unaforce kuwa kiongozi
 
Kwa ukatili wote ule uliofanywa na sabaya halafu baadhi ya vijana wenzetu wanausifia Ni Jambo la kushangaza Sana.Mkuu wa wilaya ana pora wafabiashara waziwazi halafu mtu anasifia.Huku Ni kukosa uzalendo kwa taifa letu kweli.Mtoa mada ulaaniwe na kizazi chako chote
 
Comrade Mwakibinga heshima kwako. Ole Sabaya amegraduate sasa kuna kitu anaongeza kwenye akili ili awe imara zaidi.
Waache nyumbu washangilie hawajuagi kitu.
Mama akimrudisha huyo mtu kwenye utumishi wa umma hataeleweka kamwe.Sabaya alikuwa jambazi aliyepewa ofisi za umma kupora kwa kisingizio Cha kutetea wanyonge
 
Mama akimrudisha huyo mtu kwenye utumishi wa umma hataeleweka kamwe.Sabaya alikuwa jambazi aliyepewa ofisi za umma kupora kwa kisingizio Cha kutetea wanyonge
Inawezekana alimwambia mwendazake yote haya yanamigharimu kwa kazi ya kumng’oa Mbowe Hai.
 
"hai ina kundi la wafanyabiashara wakwepa kodi", "hai inaongoza kwa mafisadi "

with vivid example embu tupe mifano hai ya hao mafisadi, na nn wamefanya kufisadi?
embu tupe mifano hai ya hao wafanya biashara wakwepa kodi?
 
Kuna watu walilipwa hela nyingi Sana wamsaafishe BILIONEA SABAYA tatizo imeshindikana.Yule jamaa kawa BILIONEA kwa pesa za zulima.Ipo siku tutaweka ushahidi.na hapo ndo mtaumbika nyinyi watetea uovu.
Weka ushahidi Sasa hivi maana anachunguzwa kwa huzo tuhuma. Siyo hukumu ikitoka ulalamike kwamba Haki haijatendeka wakati una ushahidi na umenyamaza.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwakibinga mimi nakuelewa maana ulikuwa mtu makini sana enzi tuko pale UDOM ulisimamia ukweli, lakini mwisho hakupata lolote uliishia kuwa loser.
Pole sana, sasa hivi umeamua kujikomba komba labda utapata chochote. Pole mwakibinga
aisee kumbe ni huyu mwamba.
sawa ametoa maon yake uyaheshimu.kama yalivokawa yakiheshimiwa ya wale waliosema on sides negative.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAYA NDIO MAKOSA MAKUBWA YA OLE SABAYA.

Kosa la Power Lensabaya Pale Hai ni kurejesha Ardhi ya Waislam waliyoporwa na Matajiri wa Hai na kuirudisha kwa Bakwata,

Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kurejesha Mashamba ya Ushirika iliyoporwa na matajiri wa Hai na kuwapa wananchi wanyonge walime na kujipatia mlo wao badala ya kukodishwa na Matajiri.

Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kufukua mapango ya majambazi wa Magari Arusha, Moshi, Mererani na Dar es salaam yaliyokuwa yanajificha wilayani Hai, Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuwarejeshea Waalimu wanyonge waliyodhulumiwa Pesa zao na Qnet,

Kosa la Lengai ole Sabaya ni kuwapigania wananchi wanyonge waliyoporwa Ardhi yao pale Hai na matajiri wa Kimachame,

Kosa la Lengai ole Sabaya ni kurejesha Jimbo la Hai, Halmashauri ya Wilaya na Halmashauri ya Vijiji mikononi mwa CCM, Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuongeza makusanyo ya Kodi ya TRA na Kodi ya Halmashauri ya Wilaya na kuwadhibiti wakwepa Kodi huko Hai,
Kosa la Lengai Ole Sabaya ni kuwafanya Wananchi wa Hai waishi bila hofu ya Ujambazi.

Sasa Kama huu ndiyo Ujambazi wa Lengai Ole Sabaya basi tunawahitaji majambazi wengi zaidi wa aina hii hapa Tanzania ili tuweze kusonga Mbele.

Watalaam wa Utambuzi wanasema ukimwahamisha OCD au Mkuu wa Kituo halafu wanaoshangilia sana ni wahalifu halafu wananchi wanyonge wanasikitika Jitafakari mara Mbili.
Nimefuatilia kwenye social media hata kule Hai tangu ili sakata la kusimamishwa kazi DC Lengai Ole Sabaya wanaoshangilia sana ni Majambazi wa Hai na majahili wa Siasa hapa nchini yaani Chadema kuliko wananchi wanyonge wa Hai na wananchi Wazalendo wa Taifa hili.

Lengai Ole Sabaya sisi kwetu wanaccm ni shujaa aliyejitoa maisha na Uhai wake kupigania CCM hata kabla hajawa Mkuu wa Wilaya
Lengai ole Sabaya ni kati ya vijana wachache ndani ya CCM ambao wako tayari kupoteza Uhai wao kwa kupigania maslahi ya Chama Cha Mapinduzi

Lengai Ole Sabaya ni Shujaa Kijana na kiongozi Mahiri wa Baadae wa Chama cha Mapinduzi huko Kaskazini mwa Tanzania anachopaswa kufanya ni kutuliza akili na kujijenga ndani ya chama na kuachana na Vyeo vya Uteuzi. ..Lengai Ole Sabaya atakuja kuwa moja ya Wanasiasa wakubwa katika Ukanda wa Kaskazini kama akina Edward Sokoine, Edward Lowassa na Cleopa David Msuya.

Niseme kuwa Lengai Ole Sabaya nimefahamiana naye wakati wa sakata la Bomu la Olacity ambapo Balozi wa Papa hapa nchini alinusurika kuwawa pale Arusha ambapo kijana Lengai Ole Sabaya alifanya kazi kubwa sana, namtambua kuwa ni kijana Jasiri na Mzalendo kwa Taifa lake.

Pamoja na kwamba baada ya kupata Ukuu wa Wilaya aligeuka na kutengenezea watu Majungu na mimi ni wahanga wa Lengai Ole Sabaya kwa Wasaidizi wa Rais Ikulu na kutaka kunichonganisha na Hayati Dr.John Pombe Joseph Magufuli mimi binafsi niliamua kumsamehe na kumuachia Mungu lakini hiyo tu haiondoi ukweli kwangu kuwa Lengai Ole Sabaya kwetu wanaccm anabaki kuwa Shujaa na Kijana mpambanaji Kwelikweli.

Kusimamishwa kwa Uchunguzi siyo mwisho wa siasa nakumbuka aliyekuwa Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Comred Shaka Hamdu alisimamishwa kwa Uchunguzi kwa Tuhuma za Uongo aliyopandikiziwa na wabaya wake wa Kisiasa, baada ya uchunguzi akaonekana hana hatia Leo hii ndiyo Katibu Mwenezi wetu Taifa.
Mara nyingi wanasiasa Mashupavu kama akina Shaka na Lengai Ole Sabaya wanapitia katika masahibu mengi sana hata kufungwa jela hata kunusurika kuuwawa lakini hiyo haiwezi kuzima ndoto zao za kupigania vitu wanavyoviamini...Mapambano ya Kisiasa ni kufa na Kupona wakati mwingine hata kupoteza Maisha.

Viongozi wetu chama lazima watambue kuwa hakuna siku wapinzani wa CCM watamfurahia kiongozi shupavu wa CCM, viongozi wetu wa chama watambue kuwalinda vijana wanaopigania chama kwa gharama yoyote ili kuwatia Moyo vijana wengine wanaopigania chama kama kuna changamoto za Kimaadili chama chetu kina idara maalum ya Usalama na Maadili kwa Viongozi na wanachama wake warekebishane huko...Kusimamishwa kazi kwa Lengai Ole Sabaya inawezekana ikawa ni njia Bora zaidi ya Kumuimarisha kisiasa.
 
Makonda tuliambiwa amevamia ni mwizi ,fisadi mkubwa lakini mpaka leo unaelekea mwaka hana cheo chochote wala ulinzi wowote lakini hakuna hata mmoja aliyejitokeza kumpeleka mahakamani.

Je aliowaibia wameridhika tu?


Hata Sabaya hatakutwa na hatia yoyote
 
Licha ya yote yanayoongelewa kwa huyu bwamdogo aliipiga kazi yake sawasawa, mengine ya kaisari tumuachie.
Mama yuko Zanzibar akirudi 🤷‍♂️?
Hakuna kazi zingine za kufanya zaidi ya tumbua weka
 
Reactions: mmh
Sabaya hizi ndio huwa zako. Huwa ni king’ang’anizi sana wewe. Tulizana. Ulishalikoroga ndugu. Enzi za ujambazi zishapita. Kushusha nyuzi nyingi hivi mitandaoni hazikusaidii kitu. In short (maana wewe ni zero brain, kichwa ngumu) ni kuwa TABIA yako haiendani na utawala huu kabisa. Kubali yaishe baba.
 
Sabaya Hana tofauti yoyote na Valentine Esegragbo Melvine Strasse
Your browser is not able to display this video.


Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
kwa hiyo ushujaa wake ni kumkomesha mbowe? as if mbowe enemy of state?

kama hii haya ndio mafanikio yake.. basi hakuna kiongozi hapo.
kiongoz gani mafanikio ni kumkomesha mtu? yaa petty little things ndio success.
thats bullshit na ni ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…