Uchaguzi 2020 Asante kwa kuja; Fikisha salamu zetu kwa Robert Amsterdam na wenzake

Uchaguzi 2020 Asante kwa kuja; Fikisha salamu zetu kwa Robert Amsterdam na wenzake

Salaam atazifikisha endapo tutakuwa hatuja paphorate (Kuitoboa)passport yake.
Unacheka sasa ngoja ukianza kulia kesho ndo utaelewa.Soon utaambiwa serikali haina uwezo wa kulipa mishahara ukaee miezi 3 bila mishahara ndo utaelewa madhara ya udikteta
 
Mpinzani wa CCM ni sisi watanzania wote tunaoichukia CCM na vibaraka vyao na kwa uwezo wa muumba mbingu na ardhi mutatoka muiache nchi yetu ima kwa heri au kwa shari!!!!
 
Mpinzani wa CCM ni sisi watanzania wote tunaoichukia CCM na vibaraka vyao na kwa uwezo wa muumba mbingu na ardhi mutatoka muiache nchi yetu ima kwa heri au kwa shari!!!!
Ni kweli ila safari hii wapinzani naona ni Wazungu
 
Ni doa kubwa Sana kwa familia ya mwinyi,yule mzee ana miaka 95 bado anahangaika na dunia utadhani kijana wa miaka 20 badala ya kuwa karibu na Mungu.
 
hizi hoja zisizo na mshiko kawadanganye vijana wenzako kijiweni sio hapa kwenye watu wazima na akili zao timamu wenye kujua mambo mazito, mnavyojitia maneno mengi as if alijipeleka huko kumbe ni matokeo ya mission yenu ku fail, nyie tulieni sindano iwaingie vizuri,maana binadamu hupanga ila na Mungu nae hupanga yake sirini
 
We utakuwa hujui kinachoendelea nchini. Jpm mwenyewe ameshakuja hashindi uchaguzi huu sasa ni figisu tu mda huu. Amenyimwa mpaka airtime halafu unaita eti ndo unguli wa siasa. Lisu ni Victor Kama alivyoitwa na mtume na nabii mwingira.

Naomba umuheshimu mungu kwamba lisu ni mpango wake na atashinda asubuhi hata mabeyo akiingilia Kati haijalishi.

Ukitaka kupingana na mpango wa mungu utapata laana.

We hujiulizi kwa ni hata media mbalimbali nchi hazimripoti lakini anajaza watu kibao hata haijulikani wanatoka wapi. Watu Wana kiu nae.

We hujiulizi licha ya jpm kuja na wasanii na kusomba watu kwa malori lakini bado hamna watu au anazomewa Kama ilivyokuwa kagera.

Ndo ujue jpm yeye mwenyewe anajua hashindi ila mpango ni kuwavurugia watu akabidhi nchi ikiwa vipande vipande
 
Ni huruma Sana Aisee!!

Hatuwezi kuchaguliwa Rais na watu nje ya nchi yetu
 
hizi hoja zisizo na mshiko kawadanganye vijana wenzako kijiweni sio hapa kwenye watu wazima na akili zao timamu wenye kujua mambo mazito, mnavyojitia maneno mengi as if alijipeleka huko kumbe ni matokeo ya mission yenu ku fail, nyie tulieni sindano iwaingie vizuri,maana binadamu hupanga ila na Mungu nae hupanga yake sirini
Ingekuwa ya kitoto ungeweka komenti yako, hadi happy huoni Kama imekukuna
 
Unacheka sasa ngoja ukianza kulia kesho ndo utaelewa.Soon utaambiwa serikali haina uwezo wa kulipa mishahara ukaee miezi 3 bila mishahara ndo utaelewa madhara ya udikteta
Serikali hii imelipa mishahara kipindi cha corona ishindwe kulipa sasa tupo kazini!? Labda hao wahuni wako ndiyo wangeshindwa kulipa
 
Serikali hii imelipa mishahara kipindi cha corona ishindwe kulipa sasa tupo kazini!? Labda hao wahuni wako ndiyo wangeshindwa kulipa
Korona ya siku uchache tofautisha na msoto wa kutengwa na dunia kuanzia kesho mkifanya dhuluma
 
Korona ya siku uchache tofautisha na msoto wa kutengwa na dunia kuanzia kesho mkifanya dhuluma
Dunia ipi wewe, Kila mtu amepewa nafasi wamejinadi kwa Watanzania bila wasiwasi wowote. Watulie wapate majibu ya Watanzania, wafate Sheria na taratibu zilizowekwa. Kuwa na Uchaguzi haimanishi Sheria zisifuatwe.
 
Back
Top Bottom