Na hapa unadhihirisha ulivo na akili ndogo Sana. Just some kind of a moron. Namanisha hata hujaelewa nini kimeandikwa;Hili limekaaje,Yaani tundu lissu na akili zake timamu,abebe maneno ya mtu asiye na akili timamu aende kuyapeleka kwa mtu mwenye akili timamu.
Ulikuwa jela nn ukupata taarifa vikwazo walivyovishinda CDM, mmezuia vyombo vya habari zikafikia kwa njia ya mitandao,Dunia ipi wewe, Kila mtu amepewa nafasi wamejinadi kwa Watanzania bila wasiwasi wowote. Watulie wapate majibu ya Watanzania, wafate Sheria na taratibu zilizowekwa. Kuwa na Uchaguzi haimanishi Sheria zisifuatwe.
Ni kweli sijaelewa na sababu ya kutoelewa ni kwasababu umeandika utopolo to the great extentNa hapa unadhihirisha ulivo na akili ndogo Sana. Just some kind of a moron. Namanisha hata hujaelewa nini
Wewe utakuwa kichaa, vyombo vya habari vipi!? Mbona kila saa mbili usku vilikuwa vikirusha habari za Wagombea wote, unakuwa Kama Kasuku ukikaririshwa na wewe unakariri. Umesahau kuwa nyie ndio mliowapa TBC dakika 10 wawe wameondoka kwenye mkutano wenu!? Leo mnalia lia Nini? Tulieni dawa iingie vizuri!Ulikuwa jela nn ukupata taarifa vikwazo walivyovishinda CDM, mmezuia vyombo vya habari zikafikia kwa njia ya mitandao,
Tbc walihujumu mkutano.Wewe utakuwa kichaa, vyombo vya habari vipi!? Mbona kila saa mbili usku vilikuwa vikirusha habari za Wagombea wote, unakuwa Kama Kasuku ukikaririshwa na wewe unakariri. Umesahau kuwa nyie ndio mliowapa TBC dakika 10 wawe wameondoka kwenye mkutano wenu!? Leo mnalia lia Nini? Tulieni dawa iingie vizuri!
Nimecoment kwa kukuchana makavu,sijacomment kusapoti utopolo wakoKabisa halafu ukatoka ulikotoka na kukomenti kwenye utopolo, huoni Kama wewe ni utopolo mara 1000
Walihujumu mkutano kivipi, yaani nyie mlitaka muwapangie nini Cha kufanya, huko sio kuingilia Uhuru wa habari. Wait Kama wenye chombo wanayo haki ya kutafuta habari na kuamua habati ipi itoke na ipi istoke!Tbc walihujumu mkutano.
We ujui tbc imekuwa ni kitengo cha propaganda cha chama chakavu kutumia Kodi zetu vibayaWalihujumu mkutano kivipi, yaani nyie mlitaka muwapangie nini Cha kufanya, huko sio kuingilia Uhuru wa habari. Wait Kama wenye chombo wanayo haki ya kutafuta habari na kuamua habati ipi itoke na ipi istoke!
Kabila ipi imebaguliwa,, acha nyetoo[emoji28][emoji28]Vibaraka wa CCM acheni upuuzi ni wakati wa mabadiliko na ukombozi kutoka udikteta na ubaguzi wa kikabila.
hahahahaha kitoto tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaIngekuwa ya kitoto ungeweka komenti yako, hadi happy huoni Kama imekukuna
Teh teh teh, hiyo ICC mlivyoikariri teh teh, wakati hata hamjui inafanyaje kazi na kwa Mazingira gani!? Wanaserengeti Kama wanaserengeti bwana.
Huwezi ukatenganisha dikteta na propaganda.Tafuta kitabu kinaitwa dictitors mind's uelimikeBila shaka kwa mujibu wako na Robert Amsterdam!