Uchaguzi 2020 Asante kwa kuja; Fikisha salamu zetu kwa Robert Amsterdam na wenzake

Vibaraka wa CCM acheni upuuzi ni wakati wa mabadiliko na ukombozi kutoka udikteta na ubaguzi wa kikabila.
Mwambie Kwanza BABA yako uko kwenu .....aolewe haafu mama yako nimletee zawadi ya dildo ndio nitaacha kupigia kura ccm
 
Zipo taarifa ambazo wewe mwenyewe umezithibitisha kuwa mara baada ya Uchaguzi utarudi Ubelgiji, huko ulipokuwa kwa takribani miaka mitatu na kurudi siku chache kabla ya zoezi la Uchaguzi mkuu kuanza. Ni jambo jema kuwa ulijua huwezi kutoboa na ukafanya maandalizi hayo mapema.

Sasa sisi Watanzania tunao utamaduni wetu, utamaduni adhimu sana, tunapopata mgeni basi wakati wa kurudi hupenda kumumtuma salaam ili kuwapelekea wale aliowaacha huko! Basi nasi Watanzania tunakutuma salaam hizi.

1. Mwambie Robert Tanzania ni nguli katika siasa, Mwambie hadi mda huu ina vikoloni vyake inavitawala. Mpe ukweli kuwa Rais wa Tanzania hupatikana Tanzania, pale Dodoma na si kwenye hoteli za nyota tano huko Brussels, New York, London au Paris. Mkumbukeshe kuwa Watanzania wana utamaduni tofauti kabisa na ule wa zile nchi zilivyotawaliwa na Ubelggiji na Ufaransa ambazo Marais wake bado wanaamriwa Brussels na Paris.

2. Mkumbushe Watanzania wanaamini bado katika Ujamaa, umoja na kujitegemea. Waambie wanajua kuwa Mabeberu hawajawahi kuwa watu wema kwao na wanacheza nao kwa tahadhari. Waambie Watanzania linapokuja swala la maslahi ta Nchi huwa kitu kimoja, huachagua Maslahi ya Nchi bila kujali gharama zake, Mwambie uzalendo bado umetamalaki!

3. Mwambie na hii kwa Kumnong'oneza, kuwa vyama vya upinzani kikiwemo hicho chako ni vimatawi vya Chama na shughuli zake zinaratibiwa na kitengo, ndio maana ni vya msimu vinapanda na kushuka. Mwambie hata Chairman wako na Mtendaji mkuu wako ni waajiriwa watiifu. Mwambie hata huyu Sheikh na huyu Askofu nao ni waajiiriwa watiifu ndio maana wamewekwa karibu yako kipindi hiki, hawa ndio watakaomaliza mchezo. Mwambie mfumo wa siasa na ulinzi wa Tanzania ni very complex. Mkumbushe sarakasi za Mbobezi, Mkumbushe pia kuhusu yule kipenyo aliyewahi kupenya hadi ngazi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

4. Waambie kuwa kwa mjibu wa utaratibu wa Uchaguzi Tanzania hakunaga Mpinzani wa kudumu, ila wapo wa Msimu, hivyo na wewe ulikuwa wa Msimu huu tu, Msimu ujao atatengenezwa Mpinzani mwingine, waambie wakutafutie kazi nyingine kabisa. Wakumbushe kuwa hata wewe ulitengenezwa ili kuhahakikisha Lowassa anasahaulika vichwani mwa Watanzania na kura zake millioni 6, kazi ambayo umeifanya kwa uaminifu na kwa uadilifu, Lowassa Sasa yupo CCM baada ya kupuuzwa, hiyo yote ilikuwa kazi yako. Hivyo waambie kuwa Mara baada ya Uchaguzi ataandaliwa Mpinzani mwingine ili kuhakikisha wewe unafifia.

Tafadhali Fikisha salamu zetu na Asante kwa kuja.
Safi kabisa. Tanzania ni super power East Africa mpaka south
 
Zimbabwe ilianza kwa mchezo Kama huu mwisho wake Robert Mugabe alibakia na familia yake na kuichia nchi matatizo makubwa Sana.
Zimbabwe ni wachanga kwetu. Huwezi linganisha. TZ linganisha na chama cha kikomunist cha China
 
Uzuri ni kwamba kibao kitakapo badilika na huyo "mbabe" wenu + Tume yake wakianza kukabwa koo hautakuwa na ujasiri wa kuufungua tena huu uzi! Jipe muda
 
Hili limekaaje,Yaani tundu lissu na akili zake timamu,abebe maneno ya mtu asiye na akili timamu aende kuyapeleka kwa mtu mwenye akili timamu.
Utakuwa na ugonjwa wa akili kama unaona tundu lina akili timamu.
 
Anajikosha eti kaibiwa kura! Laana ya kutaka watanzania tufumuane mitaro haita muacha salama! Aende ubelgiji akabebe mabox
 
Uzuri ni kwamba kibao kitakapo badilika na huyo "mbabe" wenu + Tume yake wakianza kukabwa koo hautakuwa na ujasiri wa kuufungua tena huu uzi! Jipe muda
Dua la kuku mkuu, wao wenyewe wanakili uchaguzi kuwa huru! Sera zake tu watanzania tumezikataaaa! Haya sasa aende checkup chap ubelgiji!
 
Kama nyie mmeridhia kuwa Banana Republic mjue kuna wengi sana hawaungi mkono ujinga huo! Msione watu wako kimya kwenye shughuli zao mkadhani mmemaliza kazi.
 
IMG_5788.png

Bungeni 2021
 
Zimbabwe ilianza kwa mchezo Kama huu mwisho wake Robert Mugabe alibakia na familia yake na kuichia nchi matatizo makubwa Sana.
Mtaweweseka Sana na hiki kichapo Cha shoga mwizi, huyo mbwatukaji wenu ndo afanye Tanzania iwe Kama Zimbabwe?
Ponda na alisema waislam wote wamekubaliana kumpigia kura zote Tundu, na akasema Lissu keshashinda na anasubiri kuapishwa, Sasa mwapisheni kwa Amsterdam ili muache kulialia.
 
Zipo taarifa ambazo wewe mwenyewe umezithibitisha kuwa mara baada ya Uchaguzi utarudi Ubelgiji, huko ulipokuwa kwa takribani miaka mitatu na kurudi siku chache kabla ya zoezi la Uchaguzi mkuu kuanza. Ni jambo jema kuwa ulijua huwezi kutoboa na ukafanya maandalizi hayo mapema.

Sasa sisi Watanzania tunao utamaduni wetu, utamaduni adhimu sana, tunapopata mgeni basi wakati wa kurudi hupenda kumumtuma salaam ili kuwapelekea wale aliowaacha huko! Basi nasi Watanzania tunakutuma salaam hizi.

1. Mwambie Robert Tanzania ni nguli katika siasa, Mwambie hadi mda huu ina vikoloni vyake inavitawala. Mpe ukweli kuwa Rais wa Tanzania hupatikana Tanzania, pale Dodoma na si kwenye hoteli za nyota tano huko Brussels, New York, London au Paris. Mkumbukeshe kuwa Watanzania wana utamaduni tofauti kabisa na ule wa zile nchi zilivyotawaliwa na Ubelggiji na Ufaransa ambazo Marais wake bado wanaamriwa Brussels na Paris.

2. Mkumbushe Watanzania wanaamini bado katika Ujamaa, umoja na kujitegemea. Waambie wanajua kuwa Mabeberu hawajawahi kuwa watu wema kwao na wanacheza nao kwa tahadhari. Waambie Watanzania linapokuja swala la maslahi ta Nchi huwa kitu kimoja, huachagua Maslahi ya Nchi bila kujali gharama zake, Mwambie uzalendo bado umetamalaki!

3. Mwambie na hii kwa Kumnong'oneza, kuwa vyama vya upinzani kikiwemo hicho chako ni vimatawi vya Chama na shughuli zake zinaratibiwa na kitengo, ndio maana ni vya msimu vinapanda na kushuka. Mwambie hata Chairman wako na Mtendaji mkuu wako ni waajiriwa watiifu. Mwambie hata huyu Sheikh na huyu Askofu nao ni waajiiriwa watiifu ndio maana wamewekwa karibu yako kipindi hiki, hawa ndio watakaomaliza mchezo. Mwambie mfumo wa siasa na ulinzi wa Tanzania ni very complex. Mkumbushe sarakasi za Mbobezi, Mkumbushe pia kuhusu yule kipenyo aliyewahi kupenya hadi ngazi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

4. Waambie kuwa kwa mjibu wa utaratibu wa Uchaguzi Tanzania hakunaga Mpinzani wa kudumu, ila wapo wa Msimu, hivyo na wewe ulikuwa wa Msimu huu tu, Msimu ujao atatengenezwa Mpinzani mwingine, waambie wakutafutie kazi nyingine kabisa. Wakumbushe kuwa hata wewe ulitengenezwa ili kuhahakikisha Lowassa anasahaulika vichwani mwa Watanzania na kura zake millioni 6, kazi ambayo umeifanya kwa uaminifu na kwa uadilifu, Lowassa Sasa yupo CCM baada ya kupuuzwa, hiyo yote ilikuwa kazi yako. Hivyo waambie kuwa Mara baada ya Uchaguzi ataandaliwa Mpinzani mwingine ili kuhakikisha wewe unafifia.

Tafadhali Fikisha salamu zetu na Asante kwa kuja.
Hahahah atafikisha vema
 
Watanzania tujitokeze kwa wingi tukamuadhibu msaliti wa nchi kutoka Ubeligiji kesho
Tutajitokeza kusaini petition ya kumwadhibu mtu aliyekiuka katiba tuliyoachiwa na mwalimu nyerere na Mkapa ya kuruhusu mfumo wa kidemokrasia wavyama vingi lakini huyu anatumia nguvu kuua kabisa mfumo huo
 
Clear and Loud
Tunaijua leo kwa sababu ndiyo tunayoiishi. Suala a kujidaia kwamba kesho itakuwa kama jana au leo ni kujidanganya. Anything cana happen na lazima tujue mungu husikiliza kilio cha wenye haki.
 
Zimbabwe ilianza kwa mchezo Kama huu mwisho wake Robert Mugabe alibakia na familia yake na kuichia nchi matatizo makubwa Sana.
Usieleze mambo ya Zimbabwe hapa. Utalinganisha vipi Zimbabwe ambapo kulikuwa na rais wa maisha na TZ ambapo raisi hakai zaidi ya miaka 10. Usilinganishe TZ na Zimbabwe, ambapo uchumi ulisimama na TZ uchumi unazidi kukua. Usilinganishe Zimbabwe na TZ ambapo hospitali, vituo vya afya, shule, barabara na mambo yote yalisimama kwa sababu hakuna pesa na TZ ambayo katika miaka mitano iliyopita kuna ongezeko maradufu la hospitali, vituo vya afya, shule, wanafunzi, umeme vijijini, na maji kwa wananchi. Kama ulikuwa na uroho wa kuwa DC/RC/PS/RAS/DED, etc kwa kupitia kwa mjomba wako Lissu sahau. Jaribu plan B kama hukuwa nayo jinyonge!
 
Unacheka sasa ngoja ukianza kulia kesho ndo utaelewa.Soon utaambiwa serikali haina uwezo wa kulipa mishahara ukaee miezi 3 bila mishahara ndo utaelewa madhara ya udikteta
YA KUSADIKIKA HAYO
 
Waafrika hawana uwezo wa kujiongoza
NDIYO MAANA LISSU KAMWAMINI MWANASHERIA MZUNGU ANAYEMTETEA KWA AHADI AKICHUKUWA NCHI TZ ITAMLIPA AMSTERDAM. hATA MADINI ALIKUWA AYAWEKE REHANI. HII KUWEKA MADINI REHANI NDIYO ILIYOMKOSESHA KURA. MAANA WANANCHI KARIBU NA MIGODI WANAJUWA ADHA YA WENYE MIGODI KABLA YA MAGUFULI.
 
Back
Top Bottom