Asante kwa msaada wenu madr wa JF(Feedback)

Bado Safari ni ndefu sana MadamG.miezi tisa kitaalam tunasema ni kama wiki 40 au siku 280.
Tunafurahia kusikia kwamba umekuwa mjamzito,ila bado mapema sana kutabiri chochote mpaka uvuke salama miezi mitatu ya mwanzo.
Ndiyo maana watu wengi huwa wanafanya siri mpaka wavuke miezi mitatu, kwa kuwa kuna changamoto nyingi katika miezi mitatu ya mwanzo.
Mara nyingi katika wiki 8 za mwanzo chochote kikienda wrong mimba huporomoka(abortion).
Jitahidi sana kula mboga za majani kwa wingi, matunda na protein.
Hizo chips hazilipi kabisa. unakosa virutubisho vingine muhimu.na je unazitengeneza mwenyewe au ni zile zinazochemshwa na mafuta ya kupozea transforma?
Maelekezo mengine umeshapewa na MziziMkavu.
Usipende kunywa dawa zozote bila maelekezo ya madaktari, na hasa dawa ambazo ni ANTI-Folate kama vile Fansidar, septrin, na zingine.Dawa hizi zinaingilia uumbaji wa mtoto kwa kuuzuia mwili usiweze kutumia FOLIC ACID na kusababisha ulemavu kama huu hapa:

kunywa maziwa kwa wingi ili upate calcium suppliments, daktari wako atakushauri kumeza folic acid na hasa kipindi hiki cha miezi mitatu ya mwanzo ili kuwe na ukamilifu kwenye uumbaji wa viungo vya mtoto.
Najua uko excited kujua mambo mengi kuhusu ujauzito.unapohitaji ushauri be free kutu-inbox nasi tuta-respond immediately.
 
Last edited by a moderator:
Watu8 na wewe ni Dr? anyway hongera kwa ushauri hadi madam amepata ujauzito. mimba ina wiki...... siwezi kutoa ushauri wowote atleast ifikishe mwezi lol! hukawii kusema una mimba mara wageni wakaja lol!

Nilidhani niko peke yangu kwenye doubts za udaktari wa watu8.
 
Last edited by a moderator:
big up Mzizi mkavu kwa ma point. Hongera mama K wetu MadamG.. Mungu akulinde wewe na kijacho.
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa ushauri
 
Asante sana
 
Hatujamsahau ndugu ndio maana ukisoma vizuri nimetaja na wengineo wote walionipa ushauri najua wapo wengi na nakumbuka chaleng yake ilijenga na mi nikaelewa zaidi
 
Kazi kweli kweli..mwenye mbuzi kashindwa kujua mbuzi ale nini ili anenepe...
majani mengine hayanenepeshi mpaka uwaone wataalamu au we mwenzetu ni mtaalamu wa kila sekta dr, mwl wewe?
ukiwa na mtoto wako unamsomesha mwenyewe kwasababu ni wako na ukiumwa unajitibu kwasababu ni ugonjwa wako, je kama unaumwa sikio na wewe udr wako umesomea jicho utajitibu tu kwasababu unaumwa wewe? siokila unachokijua na mwenzio anajua ndugu ila ongera coz umejitosheleza.
 
Watu8 na wewe ni Dr? anyway hongera kwa ushauri hadi madam amepata ujauzito. mimba ina wiki...... siwezi kutoa ushauri wowote atleast ifikishe mwezi lol! hukawii kusema una mimba mara wageni wakaja lol!
ha ha ha haaa. mimba ya wiki moja,loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…