Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Na bado.Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Na bado.
Ndiyo kwanza ukurasa wa kwanza.
Ukitaka uwaweze wanawake, don't take them seriously. Atakachoongea akiwa na hasira wewe puuzia.
Atalalama kisha atanyamaza. Maisha yanasonga.
Mbona umetoa ushauri halafu ndio unasanuka kuwa Asante ni ya mama mkwe😁😁😁Badala umtumie mkweo huu ujumbe, unatuletea sisi JF.
Tena unatuita ahsante mama mkwe. Unatukosea Mkuu.
Kaa nae kwa makini sana.yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko
Mpasuaji wa ManesiKaeni nao kwa Akili
Mwanamke hajawahi poteza uwezo wa kukumbuka jambo kamwe...Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Mungu fundi, alichukua ubavu mmoja akatengeneza loudspeaker "anonymous.Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Mwenye haki ya kusema kosa ni dogo au kubwa ni aliyekosewa, si aliyekosea.Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.
Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.