Asante mama mkwe kwa kunizalia microscope, hata jambo liwe dogo vipi linakuzwa!

Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.

Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Na bado.

Ndiyo kwanza ukurasa wa kwanza.

Ukitaka uwaweze wanawake, don't take them seriously. Atakachoongea akiwa na hasira wewe puuzia.

Atalalama kisha atanyamaza. Maisha yanasonga.
 
Badala umtumie mkweo huu ujumbe, unatuletea sisi JF.

Tena unatuita ahsante mama mkwe. Unatukosea Mkuu.
Mbona umetoa ushauri halafu ndio unasanuka kuwa Asante ni ya mama mkwe😁😁😁
 
Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.

Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Mungu fundi, alichukua ubavu mmoja akatengeneza loudspeaker "anonymous.
 
Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio.

Mtu unamuuliza yametokea wapi tena anakujibu sijui.
Mwenye haki ya kusema kosa ni dogo au kubwa ni aliyekosewa, si aliyekosea.

Yani unamkanyaga mtu kwenye daladala, anakwambia umemkanyaga, halafu unasema mbona hujakatika mguu nimekukanyaga tu?
 
Back
Top Bottom