Asante Mambosasa na RC wa Dar kwa juhudi zenu za Ulinzi; bado Temeke, Ilala na Ubungo

Asante Mambosasa na RC wa Dar kwa juhudi zenu za Ulinzi; bado Temeke, Ilala na Ubungo

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Wilaya hizo ulinzi wake umelala sana.

Watu wanataka nusu usingizi huku wakijilinda kea wasiwasi.

Ifike kipindi wezi wawe wanaiba vitu ambavyo wenyewe hawaviihitaji.

Letengenezeni Mazingira muwasaidie wananchi. Matukio ya wizi ni mengi mno. Tembeleeni vituo vya polisi mujionee orodha ya wizi wa majumbani ulivyoshamili. Nendeni pale kituo cha polisi Mabibo, external, stakishari. Makabe. Goba. Tandika . Mbagala n.k. Hari si Hari.
 
Kumpongeza mtu kwa kazi aliyoikubali mwenyewe na inayompa Mshahara maana yake nini ?
Mkuu; Mtumishi Wa Umma usipomlamba lamba viatu utashangaa hata kazi yenyewe hafanyi, na la kumfanya huna.

Wacha tu tuwapongeze ili wavimbe mibichwa na ya kwetu yatuendee.
 
Kumpongeza mtu kwa kazi aliyoikubali mwenyewe na inayompa Mshahara maana yake nini

Kumpongeza mtu kwa kazi aliyoikubali mwenyewe na inayompa Mshahara maana yake nini ?
Mtu akifanya Jambo zuri ni lazima apongezwe hata Kama ni wajibu wake.

Ndio maana tulivyokuwa wadogo baba alikuwa akikununulia viatu unamwambia Ahsante japo ni wajibu wake kukununulia viatu wewe Kama mwanae.
 
Back
Top Bottom