sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Marioo kampiga mtu na kitu kizito, hawezi recover hivi karibuni πππMarioo hafai... π₯
Mkuu aliposimama Marioo uyo Konde amechezea za uso. Watanzania wanajua talent ni nini.Mario kachukua award nagap wadau?
Ujiaibisha,,mituzo gani hiyo!?Marioo kaonyesha ambacho tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa ni mkubwa kuliko Konde.
Kwenye category ambazo wamesimama wote Marioo kamgalagaza vibaya huyo hamonaizi.
Tunawaambia tena achaneni na kiki za insta hizo hata hamorapa na Amba rutty wanazungumziwa.
Marioo kamnyoosha sana sasa hakuna tena ubishi konde ni underground kwa Marioo.
Acha tuendelee kugonga henny kazi imeisha ππππ
Nini Konde kamgalalagaza mpaka Kiba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marioo kaonyesha ambacho tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa ni mkubwa kuliko Konde.
Kwenye category ambazo wamesimama wote Marioo kamgalagaza vibaya huyo hamonaizi.
Tunawaambia tena achaneni na kiki za insta hizo hata hamorapa na Amba rutty wanazungumziwa.
Marioo kamnyoosha sana sasa hakuna tena ubishi konde ni underground kwa Marioo.
Acha tuendelee kugonga henny kazi imeisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marioo kamuangushia kitu kizito kichwani mmakonde, nimependa sana hiyo kwenye hizi tuzo.Ujiaibisha,,mituzo gani hiyo!?
Kwa wasanii wa bongofleva category serious ni alizoshinda Marioo.Mario alistahili kushinda category alizokuwepo, ila ajifunze kitu zile category seriously kangukia puwa aache kufanya mziki mwepesi mwepesi otherwise atapotea
Kwa hiyo unajaribu kusema timu konde ni wepesi sana wakisimama na Marioo hawqtoboi? ππObvious swala la matimu timu yanahusika sana kwenye tuzo
Uko kwa Kiba uyo konde bado snaa hajafika napo kagalagazwa kila walipowekwa category mojaNini Konde kamgalalagaza mpaka Kiba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pale unapoamua kuzungumzia kitu ambacho upo very shallow ππWabongo tupoje sijui!kila siku tunafikiria negative tu,wanigeria awawashindanishi wasanii wao na ndio maana hamna bifu za ajabu ajabu na wasanii wanapigana tough na hamna anaemuonea wivu mwenzie au kutaka kumshusha mwenzake alipo ili aonekane yeye ni bora,tuna cha kujifunza toka naija ili tuache uswahili
Dogo yupo vizuri ule wimbo wake wa d'Amoir ni mkali Sana una vionjo vya tofauti Sana sema Jamaa nyota hanaDogo alistahili tuzo nyingi nikimtizama Mario na baadhi ya vionjo ya nyimbo zake zinazokuja huyu dogo atakimbiza sana. Ila dogo sasa hivi ni muda wa kuwekeza East Africa hapa Tanzania kishamaliza, akapige media tour Kenya, Rwanda na Burundi kwa ajili kujibrand, kutengeneza connection na wadau wa mziki Afrika Mashariki na kutengeneza mizizi ya muziki wake EA.
Ila bongo kwa sasa dogo anakimbiza.