Asante Marioo kwa kumnyoosha Konde Boy kwenye TMA

Asante Marioo kwa kumnyoosha Konde Boy kwenye TMA

Siwezinkushiriki hizi tuzo kwa sababu wanaozisimamia ndio wanaokataa kupiga nyimbo zangu redioni
 
Wabongo tupoje sijui!kila siku tunafikiria negative tu,wanigeria awawashindanishi wasanii wao na ndio maana hamna bifu za ajabu ajabu na wasanii wanapigana tough na hamna anaemuonea wivu mwenzie au kutaka kumshusha mwenzake alipo ili aonekane yeye ni bora,tuna cha kujifunza toka naija ili tuache uswahili
Nigeria ipi iyo mkuu, hiihii ambayo burnaboy anawakashifu wenzie mitandaoni kuwa wanalipwa kidogo? Kama wanabebana si angewaita pembeni awape mchongo kipi kinapelekea apige pesa ndefu?

Nigeria hiihii ambayo wasanii wakubwa walitaka kuzichapa club?

Labda tujifunze kwa wahindi 😂😂😂
 
Marioo kaonyesha ambacho tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa ni mkubwa kuliko Konde.

Kwenye category ambazo wamesimama wote Marioo kamgalagaza vibaya huyo hamonaizi.

Tunawaambia tena achaneni na kiki za insta hizo hata hamorapa na Amba rutty wanazungumziwa.

Marioo kamnyoosha sana sasa hakuna tena ubishi konde ni underground kwa Marioo.

Acha tuendelee kugonga henny kazi imeisha 😂😂😂😂
Moja ya post za ajabu ni hii, raha ya mziki ni kuwa na wasanii wengi wazuri kama ilivyo Nigeria lakin Tanzania ni tofauti watu wanafurahia kushuka kwa msanii flani Kuna ujinga Mkubwa sana nchi hii
 
Roho ya kimasikini
 
Moja ya post za ajabu ni hii, raha ya mziki ni kuwa na wasanii wengi wazuri kama ilivyo Nigeria lakin Tanzania ni tofauti watu wanafurahia kushuka kwa msanii flani Kuna ujinga Mkubwa sana nchi hii
Tunafurahi Marioo kutuonyesha ukweli... hakuna anaeshushwa huwezi shusha mtu yupo chini tayari.
 
Back
Top Bottom