Asante Marioo kwa kumnyoosha Konde Boy kwenye TMA

Siwezinkushiriki hizi tuzo kwa sababu wanaozisimamia ndio wanaokataa kupiga nyimbo zangu redioni
 
Nigeria ipi iyo mkuu, hiihii ambayo burnaboy anawakashifu wenzie mitandaoni kuwa wanalipwa kidogo? Kama wanabebana si angewaita pembeni awape mchongo kipi kinapelekea apige pesa ndefu?

Nigeria hiihii ambayo wasanii wakubwa walitaka kuzichapa club?

Labda tujifunze kwa wahindi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Moja ya post za ajabu ni hii, raha ya mziki ni kuwa na wasanii wengi wazuri kama ilivyo Nigeria lakin Tanzania ni tofauti watu wanafurahia kushuka kwa msanii flani Kuna ujinga Mkubwa sana nchi hii
 
Roho ya kimasikini
 
Moja ya post za ajabu ni hii, raha ya mziki ni kuwa na wasanii wengi wazuri kama ilivyo Nigeria lakin Tanzania ni tofauti watu wanafurahia kushuka kwa msanii flani Kuna ujinga Mkubwa sana nchi hii
Tunafurahi Marioo kutuonyesha ukweli... hakuna anaeshushwa huwezi shusha mtu yupo chini tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…