Asante Mayele,heshima imerudi hapa Jukwaani

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Kabla ya match ya Ngao ya Jamii,hapa kwenye Jukwaa la Michezo kulikuwa zinaletwa nyuzi za kuikashifu, kugombanisha, kuitweza na kufitinisha viongozi wa Yanga, GSM na Mashabiki wao wakiongozwa na Chizi Vitabu, Mightier, Okwi Boban Sunzu na Nyamizi.

Baada ya kipigo kutoka kwa Mayele heshima imerudi,wote wamekimbia mafichoni,na hatimae wameanza kugombana wao kwa wao.

Tabu Ipo Pale Pale.
 
simba taifa kubwaaaa
 
Mkuu Frank Wanjiru

Popoma Mightier anaona aibu na ramli zake chonganishi.

Kitu anachojua ni vijembe kejeli na uchonganishi.
 
Aisee hata mechi ya kwanza ya kuanza ligi haijaisha mmeshaanza kelele, msianze kuwalaumu TFF baada ya mechi kumi kuchezwa, kwasasa endeleeni kuropoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…