Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kabla ya match ya Ngao ya Jamii,hapa kwenye Jukwaa la Michezo kulikuwa zinaletwa nyuzi za kuikashifu, kugombanisha, kuitweza na kufitinisha viongozi wa Yanga, GSM na Mashabiki wao wakiongozwa na Chizi Vitabu, Mightier, Okwi Boban Sunzu na Nyamizi.
Baada ya kipigo kutoka kwa Mayele heshima imerudi,wote wamekimbia mafichoni,na hatimae wameanza kugombana wao kwa wao.
Tabu Ipo Pale Pale.
Baada ya kipigo kutoka kwa Mayele heshima imerudi,wote wamekimbia mafichoni,na hatimae wameanza kugombana wao kwa wao.
Tabu Ipo Pale Pale.