Asante mke wangu kuniletea mapacha, wadau nisaidieni kuwapa majina (yawe ya members wa JF)

kwan ww msaga sumu una asili ya asia!!!!kama ww ni m'bongo halisi hao watoto uwezekano wa kuwa wako haufiki 30% labda mkeo awe waasia!!!!,ikiwezekana anza kupunguza aibu ya baadae kwa kuacha hata majina atoe mkeo mwenyewe!!!
wewe jamaa umenifumbua macho,lkn mama wawili huwa ananimbia dunia nzima niko peke yangu mkuu
 
Mkuu hongera. Ila ukishawapatia majina usisahau kupitia pale kwa Mkemia mkuu, barabara ya Barack Obama.
 
Hako ka kulia,mbona kama kanawaza ktu..........nahisi kanawaza kwann kamezaliwa kwenye nchi hii ya mipango ya nadharia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…