Asante mke wangu kwa zawadi mubashara kabisa!

Asante mke wangu kwa zawadi mubashara kabisa!

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Ni kikapu nimezawadiwa na mama watoto katika birthday yangu lakini leo hii nimeamua kukitumia kuendea nacho ofisini kabisa.

Nashangaa why kila mtu ofisini ananitoela macho!!.

Anyway, maisha ni kuchagua.

Screenshot_2021-06-04-14-43-07-107_com.android.browser.jpeg

 
Kikapu cha kubebea ...mpakato! Computer inaitwa aje kwa Kiswahili?
 
Heshima yako jirani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Karibu tuyajenge hapa [emoji482][emoji482]
Kumbe wewe ni jirani yangu huku Kwampalange, maana mke wako alinunua hilo kapu kwangu.
 
Mkuu inaonekana unaucheza mwingi sana mechi za mchangani......
 
Back
Top Bottom