Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso, Uganda, Zambia na IvoryCoast. Kuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.

KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
 
Bingwa alikuwa wapi wakati 5imba anakula mkono?[emoji3]

Inonga na Chama walihongwa.
Kibu D aliumizwa makusudi kumpunguza kasi na akatolewa.
Kumbuka Kibu D ndio akifunga goli la kusawazisha.

Baada ya kutoka tu ndio utopolo akapata ahueni.

Sasa tmr yuko ndan. Mkandaji wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
vipi kwenye zile 2-1 na 1-0 una maelezo gani ndugu kolo
 
Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso, Uganda, Zambia na IvoryCoast. Kuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.

KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
Safi sana baadae hautaki kusikia habari za muunganiko , kuhujumiwa na majini
 
Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso, Uganda, Zambia na IvoryCoast. Kuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.

KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
ivory coast mmemfata mchezaji gani?
 
Wacha kashafa hizo, Simba itashinda kwa mbinu za uwanjani msianze kutafuta visingizio vya kupigwa kesho.
 
Kale karefa kenu tutakadhibiti hata kwa nguvu za giza hiyo kesho. Kama ndiyo mlikaandaa kwa kazi hiyo, hakika mmechemka.
 
Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso, Uganda, Zambia na IvoryCoast. Kuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.

KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
Huna akili
 
Kumbe
 
Back
Top Bottom