Bingwa alikuwa wapi wakati 5imba anakula mkono?[emoji3]
AiseeeKuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.
KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
vipi kwenye zile 2-1 na 1-0 una maelezo gani ndugu koloInonga na Chama walihongwa.
Kibu D aliumizwa makusudi kumpunguza kasi na akatolewa.
Kumbuka Kibu D ndio akifunga goli la kusawazisha.
Baada ya kutoka tu ndio utopolo akapata ahueni.
Sasa tmr yuko ndan. Mkandaji wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana baadae hautaki kusikia habari za muunganiko , kuhujumiwa na majiniUshindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso, Uganda, Zambia na IvoryCoast. Kuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.
KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
ivory coast mmemfata mchezaji gani?Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso, Uganda, Zambia na IvoryCoast. Kuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.
KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
Wacha kashafa hizo, Simba itashinda kwa mbinu za uwanjani msianze kutafuta visingizio vya kupigwa kesho.Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso, Uganda, Zambia na IvoryCoast. Kuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.
KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
Huna akiliUshindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.
Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso, Uganda, Zambia na IvoryCoast. Kuhusu Marefarii tayari maelekezo yameshatolewa na Karia.
KESHO USHINDI NI LAZIMA KWA SIMBA
KumbeUshindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA.