fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao itakuwa mwezi wa 6.Mungu wangu asante sana