Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume

Mkuu umewaza vizuri sana. Sipati picha ningekuwa mwanamke halafu limwanaume linaniinamisha. Bora ningechagua kuwa sister wa kanisa katoliki.
 
Bangi, Ganja, Misumari, Msuba, Majani, Wida, Kaya, Kushi, Kijiti sasa wahuni wameibatiza jina wanaita DAWA.

Hii kitu si nzuri hasa ukikuta haijakomaa, itakupelekea kuwaza yasiyowazika.

Kuna muhuni mmoja aliwahi kumuuliza mshua kwanini hukunipa nafasi ya KUCHAGUA kuzaliwa na wewe au baba mwingine? Maana umasikini wako umekithiri.

Mshua akamwambia la mwanangu naomba ukamuulize mwanao kama anapenda wewe kua babaye au angepewa nafasi ya kuchagua angelikubali kuwa mwanao?

TOKA SIKU HIYO JAMAA ALIACHA BANGI.
 
Kumbuka tunapokezana next life ukirudi hapa Duniani baada ya kufa Mungu anakurudisha kama Mwanamke na pia utamshukuru sana kwa kukuumba Mwanamke!!!
 
Homones zingekubadilisha tu nakufanana na jinsi yako, kama sasa ulivyo mwanaume unaongozwa na homones za kiume hivyo huoni tabu kuwa mwanaume, hata hao wanawake wanaongozwa na homones za kike hivyo hujikubali kwa uwanawake wao
Kabisa mkuu yaani hata sisi wanawake tunashukuru kuumbwa wanawake maana tunaona kama kuwa wanaume ni kazi kwa kifupi ni kwamba kila jinsia ina masahibu yake
 
Mkuu umewaza vizuri sana. Sipati picha ningekuwa mwanamke halafu limwanaume linaniinamisha. Bora ningechagua kuwa sister wa kanisa katoliki.
Sasa mbona mnawataka wao wakubali wakati hata ingekuwa ninyi msingekubali??
 
Kumbuka tunapokezana next life ukirudi hapa Duniani baada ya kufa Mungu anakurudisha kama Mwanamke na pia utamshukuru sana kwa kukuumba Mwanamke!!!
Mmh hivi huu uongo huwa mnauamini kabisa??
 
Daah ukute kuna njemba ingetafuna papuchi yangu na kunikunjakunja halafu inasepa

Duuh kuolewa kumtumikia mwanaume kumfulia kumpikia akutafune kibaya zaidi uchungu wa kuzaa duuh manyonyo yanyonywe yawe kama ndala

Daah kuvuja damu kila mwisho wa mwezi aargh alafu naskia wanapata maumivu

Bora nimezaliwa mwanaume
 
Halafu bado kuna wanaume wanataka wanawake wao wawasaidie majukumu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia
 
Tena ungekuwa sa hizi mahali umemanua miguu huko uwanja wa fisi unachezewa na walevi
 
Ni kumshukuru Mungu kwa jinsi alivyokuumba!
Nikweli kwamba zamani katika mila za Wachaga baba alikua haudhurii kwenye sherehe ya harusi ya binti yake? Kwamba eti baba anajiuliza namsindikiza binti yangu mwenyewe kwenda kufanywa nini!!!?

Sakayo naomba leo unithibitishie kama kweli kulikua na mila kama hiyo Uchagani au maneno ya uzushi na kutaniana kitaa tu?
 
Hilo silijui Mkuu..
Mimi sio wa kipande hiyo!
 
Aise hiyo ata BK bado ipo
 
Hio ni kazi yangu mwanaume.. Swali kwako je Kama ni mtu na elimu na ujuzi wake anataka na yeye aajiriwe ajiingizie kipato atoe mchango wake angalau kdogo unadhani itakuwa sawa nimkataze nimwambie ajifungie nyumban?
Halafu bado kuna wanaume wanataka wanawake wao wawasaidie majukumu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…