Bangi, Ganja, Misumari, Msuba, Majani, Wida, Kaya, Kushi, Kijiti sasa wahuni wameibatiza jina wanaita DAWA.
Hii kitu si nzuri hasa ukikuta haijakomaa, itakupelekea kuwaza yasiyowazika.
Kuna muhuni mmoja aliwahi kumuuliza mshua kwanini hukunipa nafasi ya KUCHAGUA kuzaliwa na wewe au baba mwingine? Maana umasikini wako umekithiri.
Mshua akamwambia la mwanangu naomba ukamuulize mwanao kama anapenda wewe kua babaye au angepewa nafasi ya kuchagua angelikubali kuwa mwanao?
TOKA SIKU HIYO JAMAA ALIACHA BANGI.