Usijali kabisaaOoh kumbe! Sorry sana mamii
Ila mapadre nao ni washenzy tu, wanawainamisha sana masista ***** zao!!! 😳 🙄 😳 😵Huko padri nae anakupiga miti mbayaa, sio mapadri wote lakini
Wakubali tu hakuna namna maana tayari wameishaumbwa wanawake....wat0mbwe tu mpaka kieleweke.Sasa mbona mnawataka wao wakubali wakati hata ingekuwa ninyi msingekubali??
Hapana na wewe unatakiwa ujiongeze umsaidie majukumu yake japo mara moja moja dunia imebadilika na wala hautapungukiwa kitu ukifanya hivyoHio ni kazi yangu mwanaume.. Swali kwako je Kama ni mtu na elimu na ujuzi wake anataka na yeye aajiriwe ajiingizie kipato atoe mchango wake angalau kdogo unadhani itakuwa sawa nimkataze nimwambie ajifungie nyumban?
upo karibu kuanza kutoa jicho
Kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwa kweli... Tuwaheshimu sana hawa watu basi tu. Kuzaliwa tu jinsia ile tayari si kitu kidogo.
Nashangaa sanaHalafu bado kuna wanaume wanataka wanawake wao wawasaidie majukumu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia
Huyo anataka atuvute kweny zile Mada zake za kishosti mkuu tpaulHii mada imekaa vizuri ssna. Soma vizuri kanuni za JF ujue ni aina gani ya mada inayofutwa...usikurupuke.
Wengi wao wanakuwa na homon mchanganyiko [emoji23]Halafu bado kuna wanaume wanataka wanawake wao wawasaidie majukumu ya kutafuta pesa na kuhudumia familia
[emoji23][emoji23]kabisaWengi wao wanakuwa na homon mchanganyiko [emoji23]
Kaka mkubwa hapa kuna tatizo. kaka mkubwa ungeishia kwenye kichwa cha uzi wako bila kuweka hayo maneno,uzi ungekuwa bora sana.Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi.
Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa.
Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
Sipati picha ningekuwa mwanamke halafu limwanaume linaniinamisha. Bora ningechagua kuwa sister wa kanisa katoliki.
na wanawake wanasali, " asante Mungu kwa kuniumba jinsi nilivyo".Wayahudi (jinsia ya kiume) zamani walikuwa na sala waliyokuwa wakisali kila waamkapo asubuhi kumshukuru Mungu kwa kuwaumba wa kiume.
Homones zingekubadilisha tu nakufanana na jinsi yako, kama sasa ulivyo mwanaume unaongozwa na homones za kiume hivyo huoni tabu kuwa mwanaume, hata hao wanawake wanaongozwa na homones za kike hivyo hujikubali kwa uwanawake wao
Bangi, Ganja, Misumari, Msuba, Majani, Wida, Kaya, Kushi, Kijiti sasa wahuni wameibatiza jina wanaita DAWA.
Hii kitu si nzuri hasa ukikuta haijakomaa, itakupelekea kuwaza yasiyowazika.
Kuna muhuni mmoja aliwahi kumuuliza mshua kwanini hukunipa nafasi ya KUCHAGUA kuzaliwa na wewe au baba mwingine? Maana umasikini wako umekithiri.
Mshua akamwambia la mwanangu naomba ukamuulize mwanao kama anapenda wewe kua babaye au angepewa nafasi ya kuchagua angelikubali kuwa mwanao?
TOKA SIKU HIYO JAMAA ALIACHA BANGI.