Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume

Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume

Sasa mbona mnawataka wao wakubali wakati hata ingekuwa ninyi msingekubali??
Wakubali tu hakuna namna maana tayari wameishaumbwa wanawake....wat0mbwe tu mpaka kieleweke.
 
Hio ni kazi yangu mwanaume.. Swali kwako je Kama ni mtu na elimu na ujuzi wake anataka na yeye aajiriwe ajiingizie kipato atoe mchango wake angalau kdogo unadhani itakuwa sawa nimkataze nimwambie ajifungie nyumban?
Hapana na wewe unatakiwa ujiongeze umsaidie majukumu yake japo mara moja moja dunia imebadilika na wala hautapungukiwa kitu ukifanya hivyo
 
Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi.

Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo nikajivisha ulimwengu fulani kuwa mimi sasa ndo mwanamke alafu eti nimevaa sketi na kiblauzi changu ndo napita mara nashikwa bega mara napigiwa mbinja au eti anatokea njemba ananisaundisha eti naanza kumlegezea macho chaaaaa.

Yaani ninvekuwa mwanamke ningesomea u sister pote la mbali..
Kaka mkubwa hapa kuna tatizo. kaka mkubwa ungeishia kwenye kichwa cha uzi wako bila kuweka hayo maneno,uzi ungekuwa bora sana.

Huu mtazamo wangu tu.
 
Wayahudi (jinsia ya kiume) zamani walikuwa na sala waliyokuwa wakisali kila waamkapo asubuhi kumshukuru Mungu kwa kuwaumba wa kiume.
na wanawake wanasali, " asante Mungu kwa kuniumba jinsi nilivyo".
 
Mmm basi ningekuwa toom boy mwanzo mwisho
Homones zingekubadilisha tu nakufanana na jinsi yako, kama sasa ulivyo mwanaume unaongozwa na homones za kiume hivyo huoni tabu kuwa mwanaume, hata hao wanawake wanaongozwa na homones za kike hivyo hujikubali kwa uwanawake wao
 
Umeona kazi hiyo[emoji2][emoji2]
Mkuu umewaza vizuri sana. Sipati picha ningekuwa mwanamke halafu limwanaume linaniinamisha. Bora ningechagua kuwa sister wa kanisa katoliki.
 
Fact
Bangi, Ganja, Misumari, Msuba, Majani, Wida, Kaya, Kushi, Kijiti sasa wahuni wameibatiza jina wanaita DAWA.

Hii kitu si nzuri hasa ukikuta haijakomaa, itakupelekea kuwaza yasiyowazika.

Kuna muhuni mmoja aliwahi kumuuliza mshua kwanini hukunipa nafasi ya KUCHAGUA kuzaliwa na wewe au baba mwingine? Maana umasikini wako umekithiri.

Mshua akamwambia la mwanangu naomba ukamuulize mwanao kama anapenda wewe kua babaye au angepewa nafasi ya kuchagua angelikubali kuwa mwanao?

TOKA SIKU HIYO JAMAA ALIACHA BANGI.
 
Basi nitajigeuza tom boy na sitoi ng'oo
Kumbuka tunapokezana next life ukirudi hapa Duniani baada ya kufa Mungu anakurudisha kama Mwanamke na pia utamshukuru sana kwa kukuumba Mwanamke!!!
 
Back
Top Bottom