Asante Mungu kwa kutuletea Messi duniani

Asante Mungu kwa kutuletea Messi duniani

Gundu gani? Umeshawahi kuangalia mechi hata mmoja messi akachemka kucheza?

Au unataka kila position yeye
Nyie ndio mnaomtia gundu asifanikiwe nje ya barca, kweli adui hatoki mbali this is blasphemy dude
 
Nusu fainail UNL:Ronaldo goli 3
Result Port 3 - 0 Swiz

Nusu fainal CopaAmerica:Messi:244 dribbling,455 ndizi,chance created 56446,touches 453257,pass accuracy 45536%
Result Braz 2 - Arg 0
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Smart guy
 
Kuchemka kivipi?, ina maana jana alishine?
Mwisho tambua washindi ndio huandika historia na sio vibonde, refer liver 0- barca3
Ila mwisho hatusemi messi aliibeba barca bali liver ndio watata
Gundu gani? Umeshawahi kuangalia mechi hata mmoja messi akachemka kucheza?

Au unataka kila position yeye
 
Nobody like DINHO.

Huwa najiona MTU mwenye bahati kumtazama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani
Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye akicheza vibaya,sijawahi kuona akimpa adui pasi,sijawahi kuona apige golini maratatu na akose goli
Kabla ya messi tulikuwa na Pele kama mchezaji bora wa muda wote ila messi amekuja kuharibu kila kitu

Ewe mfalme wa soka duniani nakuhusudu sana
Kwa kumuenzi messi nitamtaja mtoto wangu jina la messi amefanya makubwa

Hakuna mchezaji hata mmoja anayeweza kumsogelea messi katika kizazi hiki tulichonacho

Messi hata ukistaafu mpira kesho hakuna ninachokudai

Messi The GOAT
View attachment 1145317View attachment 1145318
 
We mechi ya Jana umeangalia jinsi messi alivyoupiga mwingi?
Gemu ya Liverpool uliangalia? Au unakaririshwa tu

Messi hata timu isipopafom yeye binafsi hajawahi kukusea
Kuchemka kivipi?, ina maana jana alishine?
Mwisho tambua washindi ndio huandika historia na sio vibonde, refer liver 0- barca3
Ila mwisho hatusemi messi aliibeba barca bali liver ndio watata
 
Mungu hawezi kuleta mtu ambaye akiwa nje ya barca hana makali, ungekua na akili timamu ungemshukuru Mungu kwa kumleta CR7 kwenye hii dunia maana CR7 tokea akiwa man united, madrid Juve mpaka kwenye timu ya taifa tunaona mafanikio yake!!
exactly.!!
 
Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye akicheza vibaya,sijawahi kuona akimpa adui pasi,sijawahi kuona apige golini maratatu na akose goli

Mwambie Anfield inamsalimia.
 
Hayo ni matokeo ya kawaida kwenye football
But the boy hajawahi kucheza underperformed
He always write history in a pitch

Mimi nime-quote maneno uliyosema hajawahi kumpa pasi adui, hajawahi kupiga mara 3 akakosa goli nk.

Nilihisi hukuziona game za away UEFA vs Liverpool 2019, vs Roma 2018 and vs Juve 2017.
 
Niliziona sana ndio kuna kitu tunaita golikipa ameokoa goli

Alywas goalkeepers suffur playing against messi
Mimi nime-quote maneno uliyosema hajawahi kumpa pasi adui, hajawahi kupiga mara 3 akakosa goli nk.

Nilihisi hukuziona game za away UEFA vs Liverpool 2019, vs Roma 2018 and vs Juve 2017.
 
It’s absurd to compare messi to DINHO. DINHO was VERY SPECIAL.

Dinho has my respect but when you come to Messi let's be honest
Messi is the god's football ever since the creature
 
Kwani kati ya messi na liver katika zile mechi nani atakumbukwa kwa maajabu? Jikaririshe tu
We mechi ya Jana umeangalia jinsi messi alivyoupiga mwingi?
Gemu ya Liverpool uliangalia? Au unakaririshwa tu

Messi hata timu isipopafom yeye binafsi hajawahi kukusea
 
Hajamzidi pele. Pele alikuwa ana perform kote. Timu ya taifa na club. Messi huyu mnayedai yuko vizur.. anakuwa na makali barca.. timu ya taifa anakuwa kiwango chini.
Tofauti ni kubwa sana
Messi alikuwa akizidiwa na Pele tu

Lakini hadi sasa kamzidi Pele Mara mbili yake
 
Back
Top Bottom