[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nusu fainail UNL:Ronaldo goli 3
Result Port 3 - 0 Swiz
Nusu fainal CopaAmerica:Messi:244 dribbling,455 ndizi,chance created 56446,touches 453257,pass accuracy 45536%
Result Braz 2 - Arg 0
Gundu gani? Umeshawahi kuangalia mechi hata mmoja messi akachemka kucheza?
Au unataka kila position yeye
Huwa najiona MTU mwenye bahati kumtazama mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani
Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye akicheza vibaya,sijawahi kuona akimpa adui pasi,sijawahi kuona apige golini maratatu na akose goli
Kabla ya messi tulikuwa na Pele kama mchezaji bora wa muda wote ila messi amekuja kuharibu kila kitu
Ewe mfalme wa soka duniani nakuhusudu sana
Kwa kumuenzi messi nitamtaja mtoto wangu jina la messi amefanya makubwa
Hakuna mchezaji hata mmoja anayeweza kumsogelea messi katika kizazi hiki tulichonacho
Messi hata ukistaafu mpira kesho hakuna ninachokudai
Messi The GOAT
View attachment 1145317View attachment 1145318
Kuchemka kivipi?, ina maana jana alishine?
Mwisho tambua washindi ndio huandika historia na sio vibonde, refer liver 0- barca3
Ila mwisho hatusemi messi aliibeba barca bali liver ndio watata
exactly.!!Mungu hawezi kuleta mtu ambaye akiwa nje ya barca hana makali, ungekua na akili timamu ungemshukuru Mungu kwa kumleta CR7 kwenye hii dunia maana CR7 tokea akiwa man united, madrid Juve mpaka kwenye timu ya taifa tunaona mafanikio yake!!
Toka anakaribishwa uwanjani na Gaucho miaka zaidi ya kumi imepita ila sijawahi kuona hata siku moja yeye akicheza vibaya,sijawahi kuona akimpa adui pasi,sijawahi kuona apige golini maratatu na akose goli
Hayo ni matokeo ya kawaida kwenye football
But the boy hajawahi kucheza underperformed
He always write history in a pitch
Mimi nime-quote maneno uliyosema hajawahi kumpa pasi adui, hajawahi kupiga mara 3 akakosa goli nk.
Nilihisi hukuziona game za away UEFA vs Liverpool 2019, vs Roma 2018 and vs Juve 2017.
Dinho has my respect but when you come to Messi let's be honest
Messi is the god's football ever since the creature
Tatizo linaanzia apaView attachment 1145371
View attachment 1145534 take a look
We mechi ya Jana umeangalia jinsi messi alivyoupiga mwingi?
Gemu ya Liverpool uliangalia? Au unakaririshwa tu
Messi hata timu isipopafom yeye binafsi hajawahi kukusea
Messi alikuwa akizidiwa na Pele tu
Lakini hadi sasa kamzidi Pele Mara mbili yake