Asante Mungu Yanga haikufungwa nyumbani na Watunisia

Kwahiyo walivyomfukuza ikawaje? Umetoa mfano dhaifu sana kijana. Timu zote duniani
Umemshukuru Mungu au umewaponda watu. Hivyo ndivyo tunavyomshukuru Mungu kweli?
Kaka kama Yanga ingefungwa pale kwa Mkapa hali isingekuwa hivi ilivyo sasa. Hata waarabu nao hawana Raha hata kidogo maana wanafahamu nini maana ya matokeo kama Yale kwao.
 
Unavyoongea utadhani Simba wameshawahi kubeba kombe la CAF hata mwaka mmoja, kumbe ni kuwasha moto katikati ya uwanja na kupigwa faini.
 
Rudia ulichokisema
 
Wacha uongo kakaa, club Africain kagongwa kwake. Unaongopea Wana jf, waombe radhi
 
Binti Kazumari at work
 
Makolo na kukurupuka kwenu muombeni radhi mtoa uzi. Mnatakiwa mjisikie albu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…