Asante Mungu Yanga haikufungwa nyumbani na Watunisia

Asante Mungu Yanga haikufungwa nyumbani na Watunisia

Kwanza bila kuamua kujifariji huwezi kujivunia hiyo unbeaten, ni ya mchongo, mechi kibao za kupata vipigo mliokolewa na waamuzi wa mchongo.
Tp mazembe wamefukuza kocha baada ya kutolewa champions, kwenye ligi wana matokeo mazuri.

Kwa timu inayojielewa hii ligi ni ya kukupatia tiketi tu ili ushiriki kimataifa ila huwezi kujivunia kuwa umefanikiwa.
Kwahiyo walivyomfukuza ikawaje? Umetoa mfano dhaifu sana kijana. Timu zote duniani
Umemshukuru Mungu au umewaponda watu. Hivyo ndivyo tunavyomshukuru Mungu kweli?
Kaka kama Yanga ingefungwa pale kwa Mkapa hali isingekuwa hivi ilivyo sasa. Hata waarabu nao hawana Raha hata kidogo maana wanafahamu nini maana ya matokeo kama Yale kwao.
 
Hawa wajinga watopolo walipocheza na Zalan walikuwa wanafuraha muda wote..tukawaambia nyie mazuzu bora mngeanza na timu ngumu ingewafundisha nini cha kufanya...sasa hivi ni kilio kila mahali kana kwamba walijua timu zote ni kama Zalan. Kuna mtopolo mmoja nimemsikia kwenye mtandao analalamika kuwa TFF "inawabania", haiwaungi na marefa wanaokuja kuchezesha ili wawape bahasha wawasaidie kushinda. Yan ujinga wanaofanya hapa wanadhani na kimataifa unatumika. Utopolo kweli hawanaga akili
Unavyoongea utadhani Simba wameshawahi kubeba kombe la CAF hata mwaka mmoja, kumbe ni kuwasha moto katikati ya uwanja na kupigwa faini.
 
Niliacha kusoma pale ulpo sema al hilal ni kubwa kuliko yanga..kenge nyie mngelijua hilo toka mwanzo mngekua mmeshafudhu..mnawadharau watu wakishawagonga ndio mnajifanya underdog... nawakumbusha tu mlisema nyie ni timu kubwa kuliko wao..mmewazid pesa uwekezaji hadi quality ya wachezaji..na ukweli nyie ni pesambele fc
Rudia ulichokisema
 
Naona umeamua kuwafariji wala mihogo. Basi na wenyewe watajaa utafikiri africain huku walikuja kutafuta ushindi.

Ni hivi pla A ya timu yoyote inayoenda ugenini tena mechi ya kwanza ni kwenda kutoruhusu goli au sare ya namna yoyote ili gemu akaimalizie nyumbani.

Plan B, endapo atafungwa basi lisizidi goli moja ili kujipunguzia mlima wa kusawazisha nyumbani.

Plan C, kutafuta ushindi mwembamba ugenini walau wa bao moja bila.

Akifanikiwa moja kati ya hayo nafasi ya kumaliza kazi nyumbani ni kubwa kwa zaidi ya asilimia 90.

Kwenye mashindano ukishaona timu inaanza kuombea matokeo eti naombea nikatoe sare ujue ushaenda na maji kwa asilimia karibu zote dadekiko[emoji1787]. Wewe unaomba na mpinzani anaomba sasa hapo Mungu amsikilize nani[emoji2369]. Aliyejiandaa anashinda.

Wala mihogo mnaenda kuchagua mnasafirisha au mnazika huko huko
Wacha uongo kakaa, club Africain kagongwa kwake. Unaongopea Wana jf, waombe radhi
 
Binti Kazumari at work
 
Makolo na kukurupuka kwenu muombeni radhi mtoa uzi. Mnatakiwa mjisikie albu sana
 
Back
Top Bottom