Asante Mungu Yanga haikufungwa nyumbani na Watunisia

Timu za maana zote zinatimua makocha baada ya kufanya vibaya mashindano ya kimataifa bila kujali matokeo ya ndani.
 
Simba wanawezeshwa na TFF kwa kupangiwa ratiba nafuu kwenye ligi, kununua waamuzi na ulozi, baasi. Yanga kabla ya kucheza na Tunisia imetoka kucheza mechi ngumu na Simba, KMC na Geita back to back, wachezaji sio Play Stations
Kwani mmesajili wachezaji wangapi au amna kikosi kipana?
 
kama timu ipi vile? Nitajie timu ambayo imetimua kocha ambae kwenye ligi yao ni unbeaten lakini kafukuzwa baada ya kufanya vibaya kimataifa. Timu ipi? Liverpool? United?, Man City?. Mfano, Man city haina kombe la kimataifa lakini mbona Pep hafukuzwi man city? Liverpool je? wacha uongo bhna. Wacha Nabi aendelee kuwanyorosha kibongobongo. Kwani ni timu gani EAC imeshawahi kubeba kombe la caf ili yanga ilaumiwe vizuri?
 
Mbona kuumwa kwa Kapombe na Kanoute kulilalamikiwa sana, kwani hakukuwa na wengine? A wining team never change.
 
Kapombe kaumia Israh kasimama pale nyuma,mechi zote za kufuzu kuingia makundi caf kacheza nyinyi mnakwama wapi wazee wa Miho?
 
kama timu ipi vile? Nitajie timu ambayo imetimua kocha ambae kwenye ligi yao ni unbeaten lakini kafukuzwa baada ya kufanya vibaya kimataifa. Timu ipi? Liverpool? United?, Man City?. Mfano, Man city haina kombe la kimataifa lakini mbona Pep hafukuzwi man city? Liverpool je? wacha uongo bhna. Wacha Nabi aendelee kuwanyorosha kibongobongo. Kwani ni timu gani EAC imeshawahi kubeba kombe la caf ili yanga ilaumiwe vizuri?
Kwanza bila kuamua kujifariji huwezi kujivunia hiyo unbeaten, ni ya mchongo, mechi kibao za kupata vipigo mliokolewa na waamuzi wa mchongo.
Tp mazembe wamefukuza kocha baada ya kutolewa champions, kwenye ligi wana matokeo mazuri.

Kwa timu inayojielewa hii ligi ni ya kukupatia tiketi tu ili ushiriki kimataifa ila huwezi kujivunia kuwa umefanikiwa.
 
Yanga ilicheza na Club Africain uwanja wa kwa Mkapa na kutoa sare ya bilabila. Kwa anaefahamu mpira huu ulikuwa ushindi mkubwa kwa Yanga, hata Club Africain wenyewe wanalitambua hili.

Cha kushangaza wachambuzi uchwara na Makolo wanataka kuwaaminisha watanzania, wapenzi na wadau wa Yanga wote kuwa Yanga ni dhaifu, wachezaji hawafai, kocha hafai na uongozi haufai kwa yanga kupata sare ya 0-0 kama kwamba hawajui kwamba hata Al-Hilal na Club Africain ni timu kubwa sana Afrika na wanastahili kufungwa tu Yanga. Anaeamini kwenye upuuzi kama huu sio mwanamichezo bali ni mshabiki maandazi au anatafuta ahueni ya timu yake kwa Prof. Nabi na benchi lake la ufundi kufukuzwa na kuitafutia Yanga migogoro.

Kama yuko mwanayanga anaeamini kuwa kwavyovyote vile Yanga inastahili kuzifunga timu zote za nje ya nchi mshabiki kama huyo ni mjinga na mbumbumbu wa michezo anaejifanya ana uchungu mkubwa na Yanga kuliko Eng. Hersi au GSM anaemimina fedha zake.

Nijuavyo mimi Club Africain sasa hivi wana wasiwasi mkubwa kuzidi ule walionao Yanga, kwakuwa wanajua hata sare kwao haiwafai na wanajua Yanga ina wachezaji ambao wanaweza kupata goli kwenye uwanja wowote ule duniani.

Tuache ujinga na mihemko, hakuna ubishi kuwa Nabi hapendwi na timu zoote kwenye ligi. Ni mtu mpumbavu tu ambae atamfukuza kocha ambae anashinda timu zote kwenye ligi huko akijua kuwa ili upate nafasi ya kucheza mashindano makubwa lazima kwanza ufanye vizuri kwenye ligi yako kwanza.
Umemshukuru Mungu au umewaponda watu. Hivyo ndivyo tunavyomshukuru Mungu kweli?
 
Simba wanawezeshwa na TFF kwa kupangiwa ratiba nafuu kwenye ligi, kununua waamuzi na ulozi, baasi. Yanga kabla ya kucheza na Tunisia imetoka kucheza mechi ngumu na Simba, KMC na Geita back to back, wachezaji sio Play Stations
 
Attachments

  • FB_IMG_1667539466996.jpg
    FB_IMG_1667539466996.jpg
    63.3 KB · Views: 3
Simba wanawezeshwa na TFF kwa kupangiwa ratiba nafuu kwenye ligi, kununua waamuzi na ulozi, baasi. Yanga kabla ya kucheza na Tunisia imetoka kucheza mechi ngumu na Simba, KMC na Geita back to back, wachezaji sio Play Stations
kumanina zenu

mmesahau msimu uliopita mlisema msimu huu hamtaki viporo?!
 
Wacha Nabi aendelee kuwanyorosha kibongobongo. Kwani ni timu gani EAC imeshawahi kubeba kombe la caf ili yanga ilaumiwe vizuri?
Gor Mahia ya Kenya (Kombe la Washindi barani Afrika - African Cup Winners' cup) 1987.
 
Yanga ilicheza na Club Africain uwanja wa kwa Mkapa na kutoa sare ya bilabila. Kwa anaefahamu mpira huu ulikuwa ushindi mkubwa kwa Yanga, hata Club Africain wenyewe wanalitambua hili.

Cha kushangaza wachambuzi uchwara na Makolo wanataka kuwaaminisha watanzania, wapenzi na wadau wa Yanga wote kuwa Yanga ni dhaifu, wachezaji hawafai, kocha hafai na uongozi haufai kwa yanga kupata sare ya 0-0 kama kwamba hawajui kwamba hata Al-Hilal na Club Africain ni timu kubwa sana Afrika na wanastahili kufungwa tu Yanga. Anaeamini kwenye upuuzi kama huu sio mwanamichezo bali ni mshabiki maandazi au anatafuta ahueni ya timu yake kwa Prof. Nabi na benchi lake la ufundi kufukuzwa na kuitafutia Yanga migogoro.

Kama yuko mwanayanga anaeamini kuwa kwavyovyote vile Yanga inastahili kuzifunga timu zote za nje ya nchi mshabiki kama huyo ni mjinga na mbumbumbu wa michezo anaejifanya ana uchungu mkubwa na Yanga kuliko Eng. Hersi au GSM anaemimina fedha zake.

Nijuavyo mimi Club Africain sasa hivi wana wasiwasi mkubwa kuzidi ule walionao Yanga, kwakuwa wanajua hata sare kwao haiwafai na wanajua Yanga ina wachezaji ambao wanaweza kupata goli kwenye uwanja wowote ule duniani.

Tuache ujinga na mihemko, hakuna ubishi kuwa Nabi hapendwi na timu zoote kwenye ligi. Ni mtu mpumbavu tu ambae atamfukuza kocha ambae anashinda timu zote kwenye ligi huko akijua kuwa ili upate nafasi ya kucheza mashindano makubwa lazima kwanza ufanye vizuri kwenye ligi yako kwanza.
Club Africain si walipigwa 8-0 na TP Mazembe ama mmebadili kauli?
 
Kichwani kamac tupu. Mgazet huo
 
Hata kwa Al Hilal mlisema hivo hivi tatizo Utopolo mnachezea mpira mdomoni na mnakabia macho kama mabeki zenu

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Walivyocheza na zalan hawakulalamika wameona mambo yamekuwa magumu wanaanza lawama.
Hawa wajinga watopolo walipocheza na Zalan walikuwa wanafuraha muda wote..tukawaambia nyie mazuzu bora mngeanza na timu ngumu ingewafundisha nini cha kufanya...sasa hivi ni kilio kila mahali kana kwamba walijua timu zote ni kama Zalan. Kuna mtopolo mmoja nimemsikia kwenye mtandao analalamika kuwa TFF "inawabania", haiwaungi na marefa wanaokuja kuchezesha ili wawape bahasha wawasaidie kushinda. Yan ujinga wanaofanya hapa wanadhani na kimataifa unatumika. Utopolo kweli hawanaga akili
 
Kapombe kaumia Israh kasimama pale nyuma,mechi zote za kufuzu kuingia makundi caf kacheza nyinyi mnakwama wapi wazee wa Miho?
Kaka usifananishe timu za waarabu na timu za wamatumbi kule Malawi na Angola. Waarabu wanatawala mashindano ya CAF, Wana vinasaba nayo. Wana quality players na bajeti kubwa sana kuliko sisi ambao tumeshindwa kumsajili hata Sopu kutoka coastal Union. Sisi bado tuko kwenye stage ya kuwasha moto kiwanjani ili tushinde lakini wenzetu waeshapita hiyo stage. Kutoka sare au kufungwa Holi moja na waarabu ni hatua muhimu sana katika uwekezaji wetu kwenye mpira, tuwashukuru mo, GSM na bakhressa kwenye Soka letu.
 
Kapombe kaumia Israh kasimama pale nyuma,mechi zote za kufuzu kuingia makundi caf kacheza nyinyi mnakwama wapi wazee wa Miho?
Hukuwasikia mashabiki wa Simba walipofungwa na Azam?
 
Back
Top Bottom