Cattigo
Senior Member
- Nov 12, 2016
- 193
- 393
Umeamka mzima siyo kwa sababu ulitaka, siyo kwasababu ulikuwa na mipango yako Leo wala siyo kwa sababu mlinzi wa kimasai amehakikisha ulinzi wa nyumba yako, Bali kwa sababu MUNGU mtakatifu amekubali uamke salama.
-Nenda katangaze ajabu zake-
Nakutakia Baraka!
-Nenda katangaze ajabu zake-
Nakutakia Baraka!