Asante Prof Emeritus Shivji kwa kupaza sauti ya Uhuru wa Dr. Kaijage

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
What next?
Wewe siyo raia and deserves to be deported to India/ Pakistan or somewhere else of that nature.
 
Attachments

  • IMG-20260729-WA0042.jpg
    IMG-20260729-WA0042.jpg
    476.6 KB · Views: 16
What next?
Wewe siyo raia and deserves to be deported to India/ Pakistan or somewhere else of that nature.
Actually, katika wazalendo wa taifa hili, Profesa Shivji ni miongoni mwao.

Uandishi wako unatatiza sana mara nyingi. Kichwa cha mada kinasema vingine na haya maneno uliyoweka hapo yanasema vingine.

Mimi naelewa maana yako ni nini, kwa vile nimezoea na kujuwa msimamo wako ulivyo kuhusu maswala haya.
 
Nimekupata, uawa wanaweza kusema siyo raia kama wanavyo wabambikia chadema ugaidi...that was my imminent forecast
 
Shivji hana mihemuko ni mzee mmoja mwenye akili nyingi hata kipindi cha Magufuli alikemea baadhi ya mambo lakini lakini unaona aya sio ya kisiasa ya kupinga kila kitu Kama bwawa la Nyerere
 
What next?
Wewe siyo raia and deserves to be deported to India/ Pakistan or somewhere else of that nature.
Nawakumbuka tu akina Chachage, Haroub Othman na sasa kabaki Shivji peke yake na siamini yule Prof wa kuokotwa jalalani na Prof Kiti wa Ualimu walivyobadilika baada ya kuanza kuchovya asali.
 
Shivji kazaliwa Tanganyika , anaijua Tanganyika vyema kuliko hata vidampa , chawa, kunguni, vizabizabina ambao tayari fungu la kumtukana limemwagwa waanze kumtukana ,hivyo hawawezi kumfukuza kumpeleka popote.
 
Andiko hili la Prof. Issa Shivji limethibitisha jina la UDSM alilotoa Palamagamba Kabudi.
Pale ni JALALANI.
UDASA imeshachafuliwa na takataka za jalalani nayo imekuwa TAKATAKA.
Ngoja tumsubiri chancellor wa UDSM atakisafisha kwa kauli gani wakati wa mahafali ya 2026.
Naamini yule mzee ana busara na hekima za kutosha. Wakati wake pamoja na ukosoaji wote hakuwahi kuacha wahadhiri wanyamazishwe kufundisha kwa ukweli na uwazi.
Siyo kufundisha uchawa. Chawa wanapenda kuishi kwenye uchafu.
 
Akuteleza ulimi hana cheo! Believe me hatagusia hiyo issue
 
Back
Top Bottom