Asante Rais Samia aweka wazi takwimu za uporokaji wa ukuaji wa uchumi wazi, 6.9% to 4.7%, lakini sababu ni nyingi.

Asante Rais Samia aweka wazi takwimu za uporokaji wa ukuaji wa uchumi wazi, 6.9% to 4.7%, lakini sababu ni nyingi.

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Mama Samia kaingia na staili nzuri ya kuweka mambo wazi na si kuficha ficha kama ilivyokuwa kawaida ya mtangulizi wake.

From word go mwaka 2016, uchumi wa Tanzania ulianza kutikiswa kwa matumizi mabaya ya maguvu ya kisheria ya serikali.
Takwimu sa UONGO zilianza kutolewa na ikawa chini ya sheria , ikawa kosa la jinai kuzipinga. Na mtanzania huru au taasisi huru zikawa haziruhusisiwi chini ya sheria kutoa takwimu mbadala ambazo zimefanyiwa utafiti.

Ndio maana hadi leo hatujui wagonjwa walioambukizwa au kufariki kwa ugonjwa wa COVID19, maana Magufuli alikataza kwa sheria alizotunga.

COVID ilituathiri miaka miwili iliyopita lakini kuporomoka kwa uchumi kulianza zaidi ya miaka minne iliyopita. Maduka kufungwa, kampuni kufungwa, wawekezaji kutimka, hata maslahi ya wafanyakazi kuporomoka, hayo yameingia na Magufuli.

Business confidence kwa wazawa na wawekezaji pia kukaporomoka, mitaji ikakimbizwa nje ya nchi, mashahidi benki zetu, deposits zilipungua sana. Tuwe wakweli.

Hivyo kuporomoka uchumi si vema kudai kuwa ni kutokana na COVID peke yake maana Awamu ya Tano iliukaba ukuaji wa uchumi.

Najua Mama Samia kaanza vizuri kwa kusahihisha mambo muhimu kibiashara, lakini sheria kandamizi zilizotungwa wakati wa Magufuli ni lazima zibadilishwe ili mitaji iliyokimbizwa iweze kurudi.

Kinachonitia shaka ni viongozi wale wale kina Philipo Mpango, Mwigulu Nchemba na wengine waliokuwa wanaimba kuwa uchumi unakua kwa over 7%, leo wameumbuliwa kuwa ukuaji wa uchumi umeporomoka toka 6.9% hadi 4.7% kama alivyo tangaza Mama Samia.

Watu (viongozi) wa Awamu iliyopita inabidi WATUBU ili kurudisha heshima yao mbele ya umma kwa uongo waliokuwa wanatulisha.
 
Huyu mama ni muadilifu, Sio jiwe.Natamani waislamu waendelee kuongoza hii nchi.Kule bungeni ndugai alitumia bibilia kuapia tu, Mara baada ya hapo ni kuvunja katiba tu..
 
Huyu mama ni muadilifu, Sio jiwe.Natamani waislamu waendelee kuongoza hii nchi.Kule bungeni ndugai alitumia bibilia kuapia tu, Mara baada ya hapo ni kuvunja katiba tu..
Kweli kabisa.
Huwezi tumia takwimu za UONGO kujihalalisha kisiasa.
Mbaya waliokuwa wakipika data kumfurahisha Magufuli bado wapo madarakani.
Tutawaaminije?
 
Moja ya makosa makubwa hii nchi kuwahi kufanya ni kuongozwa na Jiwe , Watanzania tulichochora vibaya mno jamaa kuwa Raisi , one of the worst mistake ever ...Mimi siwez zngumzia Sana upande wa siasa Ila Kwa upande wa uchumi jamaa alikuwa more than Terrible....
 
Kweli kabisa.
Huwezi tumia takwimu za UONGO kujihalalisha kisiasa.
Mbaya waliokuwa wakipika data kumfurahisha Magufuli bado wapo madarakani.
Tutawaaminije?
Kiufupi Tu ukiwalaumu hao itabd umlaumu na Samia , kitakachomkuta mamba na Boko kitamkuta sababu wote wanaishi mtaa mmoja ,jamaa aliwaficha kwapani wote , ikabdi wacheze kulingana na mdundo wa beat ..... Wapeni mda
 
Mama Samia kachukua the bold step ya kusema UKWELI.
For a start hilo ni jambo jema.
Wengi waliokuwa chini ya Magufuli tunajua walilazimishwa kupika data.
Cha maana watubu hadharani na kuendelea na maisha.
 
Back
Top Bottom