Asante Rais Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania

Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam

Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na zoezi adhimu la Sensa likaanza nchini Tanzania. Zoezi hilo limejiri siku 170 tangu Mhe Rais Samia Suluhu Hassan alipozindua nembo na tarehe ya sensa Mjini Zanzibar, tarehe 4 Aprili, 2022.

Akiongea katika uzinduzi huo uliohudhuriwa pia na Rais wa Zanzibar Mh Dkt Hussein Mwinyi, Mhe Rais Samia alisihi watanzania wote tuhesabiwe. Aidha, Mhe Rais Samia alibainisha kuwa sensa ya mwaka 2022 itakuwa na utofauti kwani itahusisha makazi ya watu kinyume na ilivyokuwa zamani.

Kwa mujibu wa Mhe Rais Samia, Sensa ya watu na Makazi ya mwaka huu ni ya sita tangu nchi yetu ipate uhuru wake. Hii ina maana kuwa sensa zingine tano zilifanyika miaka ya 2012, 2002, 1998, 1988 na mwaka 1967.

Zoezi hili la sensa limeratibiwa vizuri na hatimaye kufanikiwa kutekelezwa vizuri kama ilivyopangwa na kutangazwa. Kwa hili tunampongeza Mhe Rais Samia kwa kulivalia njuga kuhakikisha zoezi linaendeshwa kwa weredi.

Pamoja na hayo tunavipongeza vyombo mbali mbali vya habari nchini kwa kuitangaza sensa kwa umahiri mkubwa kiasi kwamba muitikio ni mkubwa. Tunashukuru sana Mhe Rais Samia kwa kuijali Tanzania na watu wake.

Kupitia sensa hii itakuwa rahisi kwa serikali kubaini mathalani kuwa wapi kuna watu wangapi na wanahitaji shule, hospitali, maji kwa kiasi gani. Ni kwa njia hii huduma zitatolewa kwa usawa na kulingana na mahitaji halisi.

Sensa inakuja na tamwimu mpya baada ya zile za mwaka 2012 ili sasa serikali ijue idadi ya wanafunzi wanaotarajiwa kuanza masomo mwakani. Vile vile serikali itajua idadi ya nyumba ili ipange jinsi ya kuboresha makazi.

Namalizia kwa kumshukuru huku nikim[ongeza Mhe Rais Samia kwa sensa hii ya watu na Makazi ya aina yake, iliyoratibiwa kwa weredi mkubwa. Hima Watanzania tuendelee kutoa ushirikiano wakati wa kuhesabiwa.

#TwendePamoja
#KWaMatokeoYaHaraka
#TunaSensabikaPamoja
#KaziIendelee

20220825_132320.jpg
 
Ama kweli Buku 7 zinaleta mhemuko!
Hatujafikiwa hata asilimia 35 Leo Bado unakuja let's habari za mafanikio. Hii inadhihirisha wazi kuwa taarifa zitakazoletwa za hesabu ni chakachuzi! Acha kukanganya watu!
 
Back
Top Bottom