Asante Rais Samia kwa stendi mpya ya kisasa Mkoa wa Mbeya. Umejenga jina lako Mbeya badala ya Kizimkazi, tutasimulia Wajukuu zetu

Hizo ni pesa zako mwenyewe bro.. Jipongeze we mwenyewe kwa kodi unazolipa.

Otherwise wewe ni mkwepa kodi tu.
 
Jamani tuliishasema tangia wakati wa Magufuri,,Ujenzi wa Reli,viwanja vya ndge ,staendi za mabasi yalikuwa ni amendeleo ya vitu na siyo watu..nakushangaa sana ndugu kubadilika nakusgabukia maendeleo ya vitu badala ya kudeal ba vitu kama afya na elimu
 
Samia anafanya yote Kwa uwiano mzuri ambao unaleta Tija.

Huwezi jikita kwenye maendeleo ya vitu ukaacha maendeleo ya watu it becomes useless.
 
Wanauzira sana mkoa wetu. Stand ya jiji haina tofauti na stand ya Tukuyu na Chunya. Haikuwa sawa kabisa
 
Hivi hii miradi ni fedha za walipa kodi au Wafadhili/ mikopo au yeye anatoa za kwake?
 
Hivi hii miradi ni fedha za walipa kodi au Wafadhili/ mikopo au yeye anatoa za kwake?
Wewe unaona ni za nani? Hapo kabla kulikuwa hakuna walipakodi?

Au ukisikiw jina Samia unajawa chuki binafsi na husda ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…