Asante saaaana cape Verde mumeonyesha uzalendo wa hali ya juu

Asante saaaana cape Verde mumeonyesha uzalendo wa hali ya juu

Haaaaaaaaaa. Kuna wajinga 2 huku jukwaani walijambisha watu kwamba dk 87 lesoto kafanya yake. Tukasema ametutilia mchanga safari ya Misri. Watu tuka uzunika sana. Kumbe ni bangi zaotu.
 
Wakati wa Mungu ukifika hakuna cha kepu verde wala Lesotho
 
Back
Top Bottom