Asante Saida Kalori,wabana pua tupa kule...mbali kabisa!

Asante Saida Kalori,wabana pua tupa kule...mbali kabisa!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Kwa burudani uliyotupa jana pale Escape One,nakushukuru na kukutakia kila la heri. Sauti yako,mapigo yako,historia yako na ukomavu wako ulitumaliza wahudhuriaji wako. Asante

Dada Saida,usituache tena kiburudani. Ulipokuwa pembeni kiburudani,walijitokeza matapeli wa kimuziki tena wabana pua wa kiume. Wametusumbua sana na kubana kwao pua huku wakishika visuruali vyao vya kubana. Ilikuwa shida.

Dada Saida,usituache tena. Tunawatupa rasmi mbali kabisa wabana pua wote. Welcome back SK!
 
Back
Top Bottom