Asante Saida Kalori,wabana pua tupa kule...mbali kabisa!

Asante Saida Kalori,wabana pua tupa kule...mbali kabisa!

Alipata sh ngapi, maana clouds siwaamini ujue
 
Sina uhakika kama usimamizi wake unaweza kumtangaza kwenye media mbalimbali na nchi jirani na akashika soko kama zamani kwa muda hata wa miaka miwili tu.....! kuna wasiwasi clouds wakiwa busy na mambo mengine atapotea kama asiposimama imara
 
Back
Top Bottom